we jamaa boya sana. it seems you haven't been paying attention to the details...Ngoja upate elimu kidogo.
Tanzania Ina reli nyingi kuliko kenya
Projection ya 18 milion tons maanake Hiyo ni Sgr central corrridor alone kulingana na Mahitaji ya nchi husika DRC, Burundi , Rwanda na Uganda .
Mahitaji yakiongezeka reli haina limit ya kupitisha mizigo
Kuna central corridor mgr , Tazara southern corridor ya Zambia , plus trucks carrying cargo to Malawi and DRC Lubumbashi inakuwa almost 15 millions tons .
π€£π€£π€£π€£π€£ we chizi kweli.Na hizo kms za kupisha umeweka wapi ?
550 kms ni umbali Halisi wa Dar to makutopora bila kujumlisha umbali wa trucks za kupishana ambapo Jumla yake ni 750 + kms .
πππ nafurahia vile mwaka huu sindano zinavyokuingia. bila shaka nina imani utapona. πππWewe nyangβau wa bongo hujielewiππ
Hakuna cha sindano wala nini. Umeshikwa pabaya mwaka huuππππ nafurahia vile mwaka huu sindano zinavyokuingia. bila shaka nina imani utapona. πππ
niambie nani ameshikwa pabaya hapa πHakuna cha sindano wala nini. Umeshikwa pabaya mwaka huuπ
Tatizo lako hujielewiπ
Bado hujielewi. Pole sana.π€£π€£ π¨π¨
View attachment 2989053
we jamaa boya sana. it seems you haven't been paying attention to the details...
reli gani nyingi wakati ni Tazara na ile ingine miaka kumi saa ii inafeli 'test'?
usitake kuchanganya madesa, stick to Sgr.
kisha soko lenu ni la Burundi pekee. DRC, Rwanda, Uganda... hizo sahau.
View attachment 2988910View attachment 2988914
Delusional π
This is a dead project from the beginning π€£π€£π€£π€£we jamaa boya sana. it seems you haven't been paying attention to the details...
reli gani nyingi wakati ni Tazara na ile ingine miaka kumi saa ii inafeli 'test'?
usitake kuchanganya madesa, stick to Sgr.
kisha soko lenu ni la Burundi pekee. DRC, Rwanda, Uganda... hizo sahau.
View attachment 2988910View attachment 2988914
nilishakwambia, sio mm niliochagua. Ugandans have already decided, and so are Rwanda, Burundi, Drc, SS..... wote wameona kuwa the Kenyan route is the way to go. tried, tested and proven.Ndoto za abunuwasi Northern Corridor SGR haitakaa ifike Rwanda wala RDC maisha. You have to learn to live with that reality
Delusional π
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£This is a dead project from the beginning π€£π€£π€£π€£
hii maneno ni tangu kipindi cha Kikwete the COW thing!πππ Ugandans have seen the light.
View attachment 2989253View attachment 2989254
signed and sealed. wale wengine wa kufunga na kufungua mipaka... endeleni hivyo hivyo na roho zenu kama korosho π
View attachment 2989255
We mungiki Njoo ushangae treni ya umeme achana na gari moshi .π€£π€£π€£π€£π€£ we chizi kweli.
leo imeenda ruti ngapi? mutashangaa mukija ipata imejawa kutu. endeleeni kutesti miaka nenda rudi wakati sisi huku tunachana mbugaWe mungiki Njoo ushangae treni ya umeme achana na gari moshi .
Kushangaa bure .
Kwani hamkusaini hapo mwanzo mlipoanzisha CoW [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] Ugandans have seen the light.
View attachment 2989253View attachment 2989254
signed and sealed. wale wengine wa kufunga na kufungua mipaka... endeleni hivyo hivyo na roho zenu kama korosho [emoji116]
View attachment 2989255