Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,143
- 33,015
Lewis254 amebakia kulia lia tangu TRC ilipoanza majaribio😎Wakenya Hata walie machozi ya aina gani hawatajenga reli yenye Kiwango Kama hii , na sio Kenya tu ni nchi zote afrika kasoro Morocco .
wa wapi wewe??? nna shauku umekuwa ukiishi kichakani. tizama hapa👇.Wakenya Hata walie machozi ya aina gani hawatajenga reli yenye Kiwango Kama hii , na sio Kenya tu ni nchi zote afrika kasoro Morocco .
Garimoshi linafananishwa na Garistima! 2,weak Engines zikikokota mabehewa chini ya 10!wa wapi wewe??? nna shauku umekuwa ukiishi kichakani. tizama hapa👇.View attachment 2938676
Huoni aibu?😎wa wapi wewe??? nna shauku umekuwa ukiishi kichakani. tizama hapa👇.View attachment 2938676
Nakuulizwa swali rahisi Hata mtoto wa darasa la 4 anajibuwakati wenzetu wakishangaashangaa glasi ya maji juu ya meza, hapa ndipo tulipofikia, and still counting 👇View attachment 2938600
Linganisha na hii👇🏿wa wapi wewe??? nna shauku umekuwa ukiishi kichakani. tizama hapa👇.View attachment 2938676
nakaa kufanana na mtu anayeshangazwa na glasi ya maji juu ya meza kwenye burreti treni kweli?Huoni aibu?😎
Sgr Kenya = 3 million passengersNakuulizwa swali rahisi Hata mtoto wa darasa la 4 anajibu
Sgr ya Kenya ni electric ? Yes or no
Sgr ya Tanzania ni electric? Yes or no
Ndio.nakaa kufanana na mtu anayeshangazwa na glasi ya maji juu ya meza kwenye burreti treni kweli?
UNAMPOST BABA YAKO 🤣 😁 😀
Yaani awa jamaa awapendi ktu kizuri kwa tz wanaumia sanaWakenya Hata walie machozi ya aina gani hawatajenga reli yenye Kiwango Kama hii , na sio Kenya tu ni nchi zote afrika kasoro Morocco .
Hapo juu ya locomotive ni kuni ama ni macho yangu yananidanganya?wa wapi wewe??? nna shauku umekuwa ukiishi kichakani. tizama hapa👇.View attachment 2938676
Nimekuuliza kitu gani na umejibu kitu gani?Sgr Kenya = 3 million passengers
Sgr Tz = 0 passengers
njoo nikufunze jinsi ya kukata tikiti
View attachment 2938816
Iyo ni ng'ombeNimekuuliza kitu gani na umejibu kitu gani?