Hizi screens huenda zilitolewa before shipping ili ku avoid theft during shipping and handling at the port. Zikiwa under TRC wataziweka na ku reinforce zisiweze kuibiwa kirahisi. Ingekuwa jambo la ajabu sana umwambie mkandarasi wa Ujerumani akutengenezee grill ya kulinda screen lakini hapa bongo fundi Maiko ni rahisi kumpa kazi hiyo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hayana charging points na meza? Yaani hata display screens zimeng'olewa...! Kuna kitu nitakuja kusema humu maana nishawahi kuzipanda huko zilipotoka kabla ya kuwa phased out! Hii maneno haijawa refurbished yaani imepigwa rangi ikapakiwa kwenye meli !!!
Sisi tulimpinga sana huyu mama kwakua tunajua A-Z, kuwa hawezi kudeal na wezi. Angalia kinachotokea sasa!Hizo screens zitakuwa zimeibiwa bandarini [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bro minakuhakikishia hatakama zkirudishwa bado hizo behewa kwa ujumla hazitadumuHizi screens huenda zilitolewa before shipping ili ku avoid theft during shipping and handling at the port. Zikiwa under TRC wataziweka na ku reinforce zisiweze kuibiwa kirahisi. Ingekuwa jambo la ajabu sana umwambie mkandarasi wa Ujerumani akutengenezee grill ya kulinda screen lakini hapa bongo fundi Maiko ni rahisi kumpa kazi hiyo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kinachokufanya useme hazitadumu ni nini?Bro minakuhakikishia hatakama zkirudishwa bado hizo behewa kwa ujumla hazitadumu
TRC ni moja ya mashirika yanayoendeshwa hovyoKinachokufanya useme hazitadumu ni nini?
Kwa nini unasema hivyo??Bro minakuhakikishia hatakama zkirudishwa bado hizo behewa kwa ujumla hazitadumu
Wacha ushamba nawe grill ya nn wakati kuna cctv na milango ndani? Kwani screens za mabasi ya mikoani na ya wagons za Mkorea zikoje?Hizi screens huenda zilitolewa before shipping ili ku avoid theft during shipping and handling at the port. Zikiwa under TRC wataziweka na ku reinforce zisiweze kuibiwa kirahisi. Ingekuwa jambo la ajabu sana umwambie mkandarasi wa Ujerumani akutengenezee grill ya kulinda screen lakini hapa bongo fundi Maiko ni rahisi kumpa kazi hiyo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Believe me wakiziweka hizo screens wataweka grill wait and see. Maana hizo screens watakazoweka ni zile ambazo zitaweza kutumika hata majumbani na waafrika ustaarabu ulivyokuwa mdogo hawakawii kuzingoa.Wacha ushamba nawe grill ya nn wakati kuna cctv na milango ndani? Kwani screens za mabasi ya mikoani na ya wagons za Mkorea zikoje?
Mbona wasiweke grills screens za wagons za kutoka Korea?Believe me wakiziweka hizo screens wataweka grill wait and see.
Kama nawaona vile [emoji2089] [emoji2088] [emoji2088] [emoji2089] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]