Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,173
- 107,750
- Thread starter
-
- #14,001
Huyo zuzu anaongea mawazo yake tuu yuko out of touch na reality unless ni propaganda za kijinga.
Huwa hampendi kuambiwa ukweli. Hata mzungu kutoka Marekani anawaambia ukweli ambao sisi huwa tunawaambia kila siku halafu mnamtukana?Huyo zuzu anaongea mawazo yake tuu yuko out of touch na reality unless ni propaganda za kijinga.
Huwa hampendi kuambiwa ukweli. Hata mzungu kutoka Marekani anawaambia ukweli ambao sisi huwa tunawaambia kila siku halafu mnamtukana?
Yeye anaongea kwa assumptions hana fact yoyote ya kusupport alichoongea.Huwa hampendi kuambiwa ukweli. Hata mzungu kutoka Marekani anawaambia ukweli ambao sisi huwa tunawaambia kila siku halafu mnamtukana?
Uko sahihi si unaona mtoto wa NBC Bank namaanisha Nmb ilivyofanya vizuri ni kwa sababu ya kujisajili kwenye DSE. maana lazima uwe creative na auditing ya hatarinitajie shirika moja lilobinafsishwa kupitia DSE lika-collapse! TBL? TCC? TOL? Simba cement? Twiga cement? CRDB? Nadhani hamuelewi ninachosema! Mimi namaanisha TRC iwe public listed share zake ziuzwe kwa public hiyo nayo ni privatization! Asikwambie mtu mimi kila mwaka nakula commission na najuta kwanini sikununua shares lukuki! TRC ikibaki chini ya serikali siku utakuja uongozi mwingine upigaji utaanza ila shirika likiwa DSE linahakikiwa na very independent agencies! Angalia NICO ilivyokombolewa saahii inafanya vizuri!
watu hawajui haya mambo sijui kwann wanafikiria kampuni ikiwa chini ya serikali itafanya vizuri?Uko sahihi si unaona mtoto wa NBC Bank namaanisha Nmb ilivyofanya vizuri ni kwa sababu ya kujisajili kwenye DSE. maana lazima uwe creative na auditing ya hatari
wanaogopa vitu kama hostile take over..lakini ni vizuri angalau govt ikakbaki na 51 % always na iwekewe kwenye Sheria za nchi...ili Taifa lingine au watu wengne wasiweze kulichukua shirikawatu hawajui haya mambo sijui kwann wanafikiria kampuni ikiwa chini ya serikali itafanya vizuri?
NMB inafanya vizuri kutokana na wafanyakazi wa Serikali na taasisi za Serikali kulipwa kupitia iyo bank....Uko sahihi si unaona mtoto wa NBC Bank namaanisha Nmb ilivyofanya vizuri ni kwa sababu ya kujisajili kwenye DSE. maana lazima uwe creative na auditing ya hatari
Ila saahii benki zetu zinafanya zaidi ya hayo nimeskia juzi CRDB inaidhamini Yepi Merkezi kwa zaidi ya $200 mln ukiacha udhamini kwa JNHPP wa around $500 mln kwa Arab contractors and ElSewedy! Sitashangaa wakiingia some sort of agreement na EACOP pia! Those agreements r massive sidhani kama KCB na Equity Bank wamewahi ku-deal na mega projects of that magnitude nachojua mimi KCB na Equity Bank wali-bail out loss making KQ na saahii wanajuta kujiingiza kwenye KQ venture that mints losses like no one's business!NMB inafanya vizuri kutokana na wafanyakazi wa Serikali na taasisi za Serikali kulipwa kupitia iyo bank....
KQ ni investment mbaya kwa banks, hata mimi nakubali. Licha ya hio, benki za Kenya bado zinatengeneza profits nyingi kama wazimu.Ila saahii benki zetu zinafanya zaidi ya hayo nimeskia juzi CRDB inaidhamini Yepi Merkezi kwa zaidi ya $200 mln ukiacha udhamini kwa JNHPP wa around $500 mln kwa Arab contractors and ElSewedy! Sitashangaa wakiingia some sort of agreement na EACOP pia! Those agreements r massive sidhani kama KCB na Equity Bank wamewahi ku-deal na mega projects of that magnitude nachojua mimi KCB na Equity Bank wali-bail out loss making KQ na saahii wanajuta kujiingiza kwenye KQ venture that mints losses like no one's business!
Labda Tony254 aje kutueleza humu!
Lenders keep off KQ as Treasury funds airline
Local and international banks have stopped funding Kenya Airways, leaving the airline to rely on shareholder loans from the National Treasury.www.businessdailyafrica.com
zao jipya hilo kwa upsnde wa bongo flavour,yupo vizuri sana kiuimbajiHuyu Sarafina ni nani? Amekaa mmarekani mweusi.