Mimi mwenyewe uwa na nunua hisa TBL na Sigara. Naiyo nikutokana nakuwa kwangu Mimi Naona yananipa faida. Sasa wewe unatengeneza hasira alafu unataka kuingia DSE nani ata nunua hisa zako. Apo kinachoangaliwa ni faida.nitajie shirika moja lilobinafsishwa kupitia DSE lika-collapse! TBL? TCC? TOL? Simba cement? Twiga cement? CRDB? Nadhani hamuelewi ninachosema! Mimi namaanisha TRC iwe public listed share zake ziuzwe kwa public hiyo nayo ni privatization! Asikwambie mtu mimi kila mwaka nakula commission na najuta kwanini sikununua shares lukuki! TRC ikibaki chini ya serikali siku utakuja uongozi mwingine upigaji utaanza ila shirika likiwa DSE linahakikiwa na very independent agencies! Angalia NICO ilivyokombolewa saahii inafanya vizuri!
Ubinafsishaji haumaanishi kuliuza shirika la TRC kwa kampuni moja pia kuuza kwa soko la mtaji ambalo litaruhusu kila mwananchi na makampuni na taasisi kumiliki kupitia hisa ni ubinafsishaji pia! Hiyo mitaji direct kutoka serikali ndo hii mikopo ya mabenki ya nje ya kisirisiri ya JPM? Mimi nakupa njia nzuri ya kuilinda TRC nayo ni DSE! Hamna wizi utafanyika kwa kampuni kupitia uendeshaji wake bila wahusika kuhojiwa na kuwajibika refer wakina Prof Humprey Mosha wa NICOL! BTW global companies zoote unazozijua wewe zipo listed!Kwani uyo anaongelea kuliweka shirika DSE au kuli privatise?? Pia makampuni uingia DSE kwa malengo yakukuza mtaji... Mashirika ya Serikali yanauwezo wa kupata mtaji direct kutoka Serikalini na ata kukopa kwa dhamana ya serikali. Tatizo uwa ni management na lobbing ya wafanyabiashara kwenye mashirika.
Shirika kuwa listed ni jambo zuri ila bado mda wake acha kwanza lifanye kazi chini ya uangalizi wa serikali kila mtu anajua the moment hili shirika litakua privatised nauli za abiria na usafirishaji hazitakua ndogo kama tunavyotarajia na huo ndio mwanzo wa hujumanitajie shirika moja lilobinafsishwa kupitia DSE lika-collapse! TBL? TCC? TOL? Simba cement? Twiga cement? CRDB? Nadhani hamuelewi ninachosema! Mimi namaanisha TRC iwe public listed share zake ziuzwe kwa public hiyo nayo ni privatization! Asikwambie mtu mimi kila mwaka nakula commission na najuta kwanini sikununua shares lukuki! TRC ikibaki chini ya serikali siku utakuja uongozi mwingine upigaji utaanza ila shirika likiwa DSE linahakikiwa na very independent agencies! Angalia NICO ilivyokombolewa saahii inafanya vizuri!
Ofcouse nauli zitakuwa at market rate! Unavyoiamini serikali utafikiri kipindi cha Nyerere makampuni yoote hayakuwa chini ya serikali na kufa kutokana na wizi na mismanagement na kupelekea kubinafsishwa kwa watu binafsi kipindi cha Mkapa kwa vile DSE haikuwepo! Jifunze kidogo hii maneno ndo utajua ni vipi global congrolemates zina-survive! Kama TPA chini ya JPM wakina Koka walikuwa wanaiba sembuse hii TRC? The only sure way ni DSE ambayo inaruhusu public scrutiny ya all financial books za makampuni kwa uwazi si tunakuwa na CAG ambaye anatoa ripoti kwa matakwa ya Rais, akibisha anatumbuliwa!Shirika kuwa listed ni jambo zuri ila bado mda wake acha kwanza lifanye kazi chini ya uangalizi wa serikali kila mtu anajua the moment hili shirika litakua privatised nauli za abiria na usafirishaji hazitakua ndogo kama tunavyotarajia na huo ndio mwanzo wa hujuma
Tupatie hesabu za reli yenu imebeba mizigo tani ngapi na abiria wangapi, Uzuri wa kichwa ni uzuri wa macho tu!and see what our neighbors have. machozi [emoji2299][emoji24]
View attachment 2131065
Abiria
View attachment 2131066
Mizigo
View attachment 2131067
yan hata train (kichwa) ya mizigo ya Tanzania imeizidi muonekano mzuri train ya abiria ya kenya [emoji24]
Hii kitu Tanzania ipo zamani sana... Unalipia kwa CBM....Cargo De-Consolidation Centre- Nairobi
Ambapo wanabiashara wanaweza kuagizia mizigo kwa pamoja alafu badala ya kulipia nauli ya kusafirisha kontena nzima, unalipishwa kulingana na uzito na/au ukubwa wa mzigo wako hapo ndani ya kontena... Kontena ikifika kila mtu anakuja kuchukua mizigo yake... Kwa kifupi imepunguza sana garama ya kutuma/kuagiza bidhaa nje ya nchi kwa wanabiashara wadogo wadogo kwasababu hawana haja ya kulipia kontena, wanashare garama hio na wengine..
Hata Kenya ilikueko kwa MGR, lakini SGR ndo ilikua haijawahi kusafirisha mizigo/biashara ya aina hii.Hii kitu Tanzania ipo zamani sana... Unalipia kwa CBM....
Hii marshalling yard imeunganishwa na PAX Terminal? Never seen that before!