Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,146
- 107,707
- Thread starter
-
- #13,641
stop being naive comparing Uganda where Nile river passes to Kunyaland!Sasa kama tuko na madaraja mara nne kushinda kwenu na matuta ya urefu wa mara tatu kushinda yenu, what do you expect?
Hii hapa screenshot kutoka SGR Uganda report to parliament ikieleza cost ya SGR Uganda
View attachment 2123145
35% ya garama ya SGR Uganda ilikua inaenda kwa ujenzi wa Madaraja, na 25% ni earth works ambayo ni ujenzi wa matuta(35% +25% = 60%).... sasa kumbuka Kenya ina madajara yenye urefu zaidi kuliko Uganda.
Kwa mfano,kwenye phase II Nairobi-Naivasha SGR , Zaidi ya nusu billion usd (over $500 million) imepotea kwenye ujenzi na fidia kwa KWS kwa daraja/viaduct la 6,000m juu ya Nairobi National Park. Hio ni 30% ya garama yote ya phase II imepotea kwenye 6km ya route length.
Nadhani kuna watu wako ICU sahivi. .....shida ni shinikizo la damu [emoji23][emoji23]Kitu kinakuja[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2125221
nimehesabu behewa 40 za mizigo na la abiria moja . noma sana
Sasa anakuja babalao behewa kamazote 2km long train on cheaper energy and maintenance cost [emoji91]nimehesabu behewa 40 za mizigo na la abiria moja . noma sana
Biashara umeoga
Hatutaki empty stories na Masifa za ujinga.
Just tangible work.
View attachment 2125823
Nyang'au kwishilia mbali.
Hatuna miradi ya kufa kufa.Nyang'au kwishilia mbali.
Hivi nauliza vichwa vya treni vya Kenya wakati wa kutest walitumia vichwa gani? Nauliza tuu jamani sina nia mbaya.