Usichanganye madesa ndege ilizuiliwa SA na Canada hakuna mtu au nchi yoyote yenye ubavu wakutupangia au kuzuia mali ya TZ ndani ya ardhi ya Tz.Contract inasema walikua wata operate SGR kwa miaka kumi ndo watupatie [SGR loan inafaa kulipwa yote baada ya miaka 15] sisi sahii tumegeuza tunasema tunataka watupatie control yote ya SGR by 2022 (Yani miaka mitano baadae).... Wao wame counter hio proposal kwa kusema basi tuwalipe deni ndo watupatie sahii kinyume na contract ya awali.... Hii ni biashara na Kila mtu ana haki yake anaruhusiwa ku negotiate. Usijidai hapa na nyinyi mlipokonywa ndege kule Canada kwa kujifanya wajeuri hamtaki ku negotiate breach of contract which is protected by international law.
Mtoto mdogo hakai na pesaRuvu's marshalling yard
VS
SGR Kenya's Kilindini Marshalling yard!
MY TAKE
yajayo yanafurahisha
Wakulungwa toka Kunyaland watakuja kupiga picha!nimeangalia ile ya moro-makutupora.. kule kwenye tunnels na milima kuna views nzuri sana .. nimeona wakifanya uchorongaji.. nasubir imalizike reli nzima nione views yake.. hata sasa pazur sana ase
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni nomaRuvu's marshalling yard
VS
SGR Kenya's Kilindini Marshalling yard!
MY TAKE
yajayo yanafurahisha
Wamelifanyia renovation sio?
sijui... 🤷♂️Wamelifanyia renovation sio?
pale mkunya anapojifanya kipofu wakati hamna station hata moja kule Kunyaland yenye dedicated cargo terminal! That SGR station is to have 5 rail tracks one for each terminals i.e. cargo and passenger and 3 for passing trains!Ehee Sasa nionyeshe wapi ipo hio container yard
Mbona inanikalia ovyo ovyo.Dar-Moro SGR July 2021 Updates.