Kwahiyo tuwe na bandari kubwa mbili sehemu moja zen mzigo wa kulisha hizo bandari utatoka wapi, wakati mwingine Geza huwa sikuelewi kabisa, siku hizi umekuwa anti Magu kwa mambo mengi hata yale ya wazi kabisa kwamba hayati alikuwa right but umekuwa ukipinga kabisa kwanini unafanya hivyo?
Bagamoyo port is a transhipment port. All cargoes designated to Africa from China and far east will land at Bagamoyo port using huge ships post Panamax creating economies of scale for the port as well as reduction in shipping cost. Also this port goes pamoja na industrial park manufacturing goods for exporti mean uwezo wa kufikiria economic impact yake! BTW tuongee vingine tuache haya maneno!
dar ipo limitation ya space ukichukua urefu wa quayside yote haizidi 3 km! Yaani uzungeke mpaka daraja la Nyerere na uje upande wa Kigamboni! na majadiliano round ya pili ndo yameanza! Vuta subra! kama barrick waliweza kukubalioana na GoT mbona mnakata tamaa na majadiliano haya?hii bandari inaenda sambamba na ujenzi wa viwanda.. nimeona sehem wameandika 190 (sina uhakika).. ila sasa kama sio ubinafsi kwanini wasitoe hata mkopo kuiboresha ya Dar?? au hata kutoa mkopo wa kujenga dual lane roads au railway kutoka huko bagamoyo(wanapojenga viwanda) hadi Dar???
option ya kuijenga na kuitawala bagamoyo port for a number of years over kutoa mikopo ya kujenga roads/railways probably wameona kuitawala port itawapa faida zaidi kuliko kutoa mikopo
dar ipo limitation ya space ukichukua urefu wa quayside yote haizidi 3 km! yaani uzungeke mpaka daraja la Nyerere na uje upande wa Kigamboni!
Kwani mkataba umesainiwa? mbona mna papara? Wamerudi mezani! mi nashangaa hii tabia ya ku write-off every other attempt nje ya JPM mnatoa wapi? A reason napinga watu humu ndani, watu muwe na patience!it’s okay, lkn majamaa watapata faida ya maradufu.. labda ile mikataba aliyosema Magu isiwepo.. kusiwepo na unyonyaji wa ajabu ajabu.. mf eti usiendeleze ya Dar.. Tanzanian authorities ziwe na mamlaka ya kuaudit mambo ya fedha huko ndan bandarin (sijui terms za kiuchum, hope it’s understandable).. ishu ya miaka ipungue.. etc
yan ujue kuna vitu ukivisikia unajua hapa unapigwa.. kama wenzetu kwa express na SGR
Kwani mkataba umesainiwa? mbona mna papara? Wamerudi mezani! mi nashangaa hii tabia ya ku write-off every other attempt nje ya JPM mnatoa wapi? A reason napinga watu humu ndani, watu muwe na patience!
Hiki ndicho kitu ambacho hatukitaki, yn unakuwa unajisifia mali ambayo haikusaidii, hakuna mtu asiyependa kuona nchi yake inapata neema lkn neema hiyo isiwe ya machoni tu bali iguse maisha ya raia directly, kama tumekubali bwagamoyo port basi hakuna haja ya kuharibu pesa kuendeleza Dar port mana possibly inaenda kufa, lkn pia km tunaenda mezani isiwe kwa style inayosemwa eti sisi ndiyo tunaowahitaji wawekezaji kuliko wao wanavyotuhitaji sisi cz kwa misemo hiyo mana ake unakwenda kukubaliana na kila hitaji lao, ok ngj tuone.it’s okay, lkn majamaa watapata faida ya maradufu.. labda ile mikataba aliyosema Magu isiwepo.. kusiwepo na unyonyaji wa ajabu ajabu.. mf eti usiendeleze ya Dar.. Tanzanian authorities ziwe na mamlaka ya kuaudit mambo ya fedha huko ndan bandarin (sijui terms za kiuchum, hope it’s understandable).. ishu ya miaka ipungue.. etc
yan ujue kuna vitu ukivisikia unajua hapa unapigwa.. kama wenzetu kwa express na SGR
wacha kuchanganya madesa kwahiyo wakisamehe Tanzania na wakina Kenya na Angola si wataomba msamaha pia? Au mabenki ya China hayawezi kutetereka? Unajua China wamekopesha wangapi?yule mchina kule chato aliambiwa na magu wafute baadhi ya madeni.. mchina akaonyeshwa anaguna guna
sema hutaki wewe serikali ya Samia inaenda kurudisha huu mradi! Munamuongelea JPM utafikiri alikuwa saint!Hiki ndicho kitu ambacho hatukitaki, yn unakuwa unajisifia mali ambayo haikusaidii, hakuna mtu asiyependa kuona nchi yake inapata neema lkn neema hiyo isiwe ya machoni tu bali iguse maisha ya raia directly, kama tumekubali bwagamoyo port basi hakuna haja ya kuharibu pesa kuendeleza Dar port mana possibly inaenda kufa, lkn pia km tunaenda mezani isiwe kwa style inayosemwa eti sisi ndiyo tunaowahitaji wawekezaji kuliko wao wanavyotuhitaji sisi cz kwa misemo hiyo mana ake unakwenda kukubaliana na kila hitaji lao, ok ngj tuone.
Huyu naye siku hizi anatafuta kupendwa nn na wanasiasaJPM si Mungu! Bandari ya bagamoyo aijenge mwenyewe kisa? Kwanini asiachie private investors na kutumia hizo funds kufanya vingine?
Kuna mda hili li uzi nafikiri kuliacha hasa unapo kuta watu walewale wanakengeuka, point sio kutojenga, point ni inajulikana ni ipi, aaah kuleni ngano pia daahKwani mkataba umesainiwa? mbona mna papara? Wamerudi mezani! mi nashangaa hii tabia ya ku write-off every other attempt nje ya JPM mnatoa wapi? A reason napinga watu humu ndani, watu muwe na patience!
Hili tulisema 3 years ago,wakunya wats rise kwenye mitandao na vilio na kutukana serikali ya jubilee.sasa imeanza kutokea.siku zikianza kazi watalia!