The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,996
Stations zetu zimezingatia mahitaji ya eneo husika, pia stations zetu tumezijenga kulingana na choice zetu Watz na wala co choice ya contractor km nyie mlivyofanyiwa.Our SGR stations can be compared with the best railway stations in the world. That's the meaning of world class, za kwenu zinalinganishwa na vyoo vya machakos county.
Venye tu nilikuambia, hauna akili ya kuelewa mambo. Ni system gani ya sgr hiyo akili yako fupi inakuambia tuliacha? Ama kuweka nyaya za umeme ndio inafanya railway to be standard? For your information we only need $4M to electrify our line if in case we would like to do it soon wakati nyinyi you will need more than $20M to demolish and build new train stations. Wewe IQ yako itabaki kuwa ndogo.Stations zetu zimezingatia mahitaji ya eneo husika, pia stations zetu tumezijenga kulingana na choice zetu Watz na wala co choice ya contractor km nyie mlivyofanyiwa.
Alafu stations ni jambo dogo tu ikihitaji kubadilishwa kwa kufanyiwa renovation au kubomoa kujenga mpya ni jambo dogo na hai cost pesa nyingi na wala hailazimiki kuita watu kutoka nje, lkn SGR system ni ngumu na ni gharama sana kuibadili kuwa mnavyotaka, na hapo ndipo akili ndogo zinapoonekana yn kupiga kelele za stations ambacho ni kitu simple bila kuangalia kitu kigumu mlichoharibu.
SGR sio stations dada bali ni hiyo reli yenyewe na system kwa ujumla. Pole kama umeumia.
SGR vs Upgraded MGR [emoji23][emoji23][emoji23]Hata ukikasirika ila ukweli ni kwamba haitakaa itokee ku compare electrified SGR with diesel SGR, haiwezekani na haitakuja kutokea kamwe, hapa tunalinganisha cost kwasababu mlipigwa pesa nyingi sana tofauti na uhalisia, mana kwa kawaida electrified SGR railway ni lazima iwe expensive kuliko diesel SGR lkn nyie kwasababu hamna akili mkapigwa pesa ndefu kuliko cost ya SGR yetu ambayo ni classic and of International standard.
Na hilo ndilo lengo la muanzisha uzi, soma vzr huu uzi haulinganishi SGR btn urs and ours bali unalinganisha cost baada ya kugundulika mlipigwa.
Hehehehee unadhani ku electrify reli ni kama ku electrify kibanda chenu cha pale makuru kayaba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Venye tu nilikuambia, hauna akili ya kuelewa mambo. Ni system gani ya sgr hiyo akili yako fupi inakuambia tuliacha? Ama kuweka nyaya za umeme ndio inafanya railway to be standard? For your information we only need $4M to electrify our line if in case we would like to do it soon wakati nyinyi you will need more than $20M to demolish and build new train stations. Wewe IQ yako itabaki kuwa ndogo.
You are an idiot.Hehehehee unadhani ku electrify reli ni kama ku electrify kibanda chenu cha pale makuru kayaba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwamba unaamka tu unaweka nyaya, unajua gharama zake? Ingekuwa hivyo unadhani mngekubali kujengewa diesel SGR? Au unadhani kuna nchi ingekosa electrical SGR? Jaribu siku kumshauri rais wako uone kama hajakujibu hivi;
[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Teargas: Mheshimiwa tu electrify ile reli yetu mkuu
Kenyatta: Kijana wangu teargas hivi unajua gharama ya ku electrify SGR kweli? Zile poles inabidi kuzitandaza njia nzima ya reli, je umepiga hesabu gharama ya cables? Machines za kupoza umeme unadhani zinahitajika ngapi je umepiga hesabu? Experts je umewahasabu watakuwa wangapi? Kijana wangu usitake niolewe mm kwa mikopo wacha hii kazi ije ifanywe na kizazi kijacho, usione Tz wameweza bali ujasiri wa ajabu wa yule mzee wao.
Pia uki electrify reli juwa kwamba hupaswi kuweka mitungi ya chang'aa inabidi uweke vitu vya haja, je umefikiria hilo?
Btw reli yetu ni ya diesel na ilijengwa kuwa hivyo no room kui change kuwa electrical ulisikia wapi hiyo scenario.
Reli yetu inabeba 22m tonnes, yenu 17m tones. Ukweli uongo?Hata ukikasirika ila ukweli ni kwamba haitakaa itokee ku compare electrified SGR with diesel SGR, haiwezekani na haitakuja kutokea kamwe, hapa tunalinganisha cost kwasababu mlipigwa pesa nyingi sana tofauti na uhalisia, mana kwa kawaida electrified SGR railway ni lazima iwe expensive kuliko diesel SGR lkn nyie kwasababu hamna akili mkapigwa pesa ndefu kuliko cost ya SGR yetu ambayo ni classic and of International standard.
Na hilo ndilo lengo la muanzisha uzi, soma vzr huu uzi haulinganishi SGR btn urs and ours bali unalinganisha cost baada ya kugundulika mlipigwa.
Hebu anza kwa kunitajia hivyo vigezo ambavyo vinakufanya uone quality kwa reli moja vs reli Nyengine bila kupima lolote.Ngoja nikuulize wewe, unadhani SGR ya Kenya na ya Tz ipi quality, jibu km wise man japo inauma, plz usiniambie habari za functional cz nitakuona una inferiority complex[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Geza Ulole msikilize huyu falamanga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Reli yetu inabeba 22m tonnes, yenu 17m tones. Ukweli uongo?
Reli yenu ni kwichi kwichi type a.k.a makelele type [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hebu anza kwa kunitajia hivyo vigezo ambavyo vinakufanya uone quality kwa reli moja vs reli Nyengine bila kupima lolote.
Reli yenu haiezisupport double stack wagons😂😂, reli yenu inabeba less cargo kuliko yet. Wewe utabaki hapa kubweka about electrical wakati in real life no inferior compared na ya Kenya.Reli yenu ni kwichi kwichi type a.k.a makelele type [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa kama anambishia MD wa TRC Masanja Kadogosa sisi tutamsaidiaje? Video ya maelezo ya capacity ya SGR Tanzania ipo humu amesema from 17 mln will be minimum load and 25 will be maximum load!Geza Ulole msikilize huyu falamanga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Update: lot 3 and lot 4 of SGR Dar-Mwanza about to be launched!
MY TAKE
- 1 km of SGR in another countries in Africa $5-7 mln while in Tanzania is $3.5 mln!
- Operating costs for diesel SGR is 3 times electrical SGR in general!
- Tanzania's SGR is way more superior in tonnage capacity to be haulage than other SGR in Africa!
- Tanzania SGR is faster (120km/h cargo n 160 km/h PAX) than other SGR than other SGRs around Africa (80 km/h cargo n 120 km/h PAX)! AND the speed can be increased to 250 km/h at no cost!
- Mwanza city to be a logistic hub in the great lakes region, a massive inland depot (the largest in East and central Africa) is to be constructed at Fela in Mwanza city!
Hehehe pole kwa maumivu. Ke SGR is designed for 22M tonnes per year while that of Tanzania is 17M tonnes per year.Unato.mbwa wewe, yn ulinganishe SGR ya Kenya na ya Tz utakuwa ni chizi wa kiwango cha kimataifa.
Ni vzr kujipa moyo ili usije kufa kihoro [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hehehe pole kwa maumivu. Ke SGR is designed for 22M tonnes per year while that of Tanzania is 17M tonnes per year.
Our passengers trains are doing 1440 passengers per one way, ya Tanzania Niko sure hata haitafika 800 passengers.
Kenya's SGR supports double stacking, ya Tz can't do such.
Our train stations are much superior than Tz train stations.
Dah aiseee yn unaonesha inferiority ya kiwango cha juu sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hehehe pole kwa maumivu. Ke SGR is designed for 22M tonnes per year while that of Tanzania is 17M tonnes per year.
Our passengers trains are doing 1440 passengers per one way, ya Tanzania Niko sure hata haitafika 800 passengers.
Kenya's SGR supports double stacking, ya Tz can't do such.
Our train stations are much superior than Tz train stations.
Hujui hata maana ya inferiority complex, sijui mbona huwa mkiambiwa ukweli mnanunaDah aiseee yn unaonesha inferiority ya kiwango cha juu sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ouch!! That hurt!! 🤣 🤣 🤣Hujui hata maana ya inferiority complex, sijui mbona huwa mkiambiwa ukweli mnanuna
sasa si ungemtonya mwanawane! hata kumpa complement? We dada Mzuri....!huyo mdada Jam.. nilimuona masaki mwezi uliopita hv.. mzuri kweli.. ana harrier nyeupe