A Nigerian comedian has dissuaded Kenyans from complaining about the cost of the Standard Gauge Railway launched by President Uhuru Kenyatta last week.Nigeria's SGR Terminal plus trains
MY TAKE
Way better than what was built by our yapping neighbor!
Msikieni huyu Kima [emoji205][emoji118][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji90][emoji90][emoji382][emoji382]Hiyo ni SGR?[emoji1787][emoji1787][emoji23] So sgr ni line tu? Where's the train.
So, za Ethiopia ndio tutapata hizo 19 kwa $60mil? Wallahi nmecheka sn jinsi mtu anaumia na maendeleo ya Tz, mara aseme hiyo pesa haiwezi kununua train 19 mara akili zinamrejea anasema tutanunua km za Ethiopia kwamba za Ethiopia sio za umeme yn zinatumia kuni km zao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]I won't be surprised kuwaona na trains kama za Ethiopia [emoji23][emoji23]
Punguza ushabik treni zetu ni model ya 2015Acha kujipa moyo mzee mitreni ya zamani iyo ambayo China ndio ilikua inaitia enzi izo 1980 nyinyi mnachekelea mmelamba dume
Hebu Google neno hili [emoji117]SGRHiyo ni SGR?[emoji1787][emoji1787][emoji23] So sgr ni line tu? Where's the train.
Si ndo hii hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]Punguza ushabik treni zetu ni model ya 2015
Kenya hakuna SGR bali kuna upgraded MGR ni wachina tu wamekuleni pesa [emoji1787][emoji1787]SGR alongside MGR and the Mombasa-Nairobi Highway
Nikiwa ndani ya SGR yetu sijawai sikia kelele Wala maji yangu kwenye glass kutetemeka. Kelele ya click-clack husikiwa na walio nje kwahivyo hio sio sababu muhimu, jaribu tena!
Geza ulole weka ile video ya gari moshi la Kenya likitoka Mombasa tumsikilizishe mikelele huyu jamaa, yn wazungu waweke Technology ya ku weld reli zen isiwe na tofauti na jointed!! Ulisikia wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nikiwa ndani ya SGR yetu sijawai sikia kelele Wala maji yangu kwenye glass kutetemeka. Kelele ya click-clack husikiwa na walio nje kwahivyo hio sio sababu muhimu, jaribu tena!
Si ndo hii hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]View attachment 1760740
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ulikua una ndoto ya kua comedian ambia mods wakufungulie sehemu yako ya comedy na ushabik.Kenya hakuna SGR bali kuna upgraded MGR ni wachina tu wamekuleni pesa [emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kapanic [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama ulikua una ndoto ya kua comedian ambia mods wakufungulie sehemu yako ya comedy na ushabik.
Siku ukijiskia kurudi huku kwa mijadala ya watu wazima njoo nikufundishe maana ya SGR.
You should realize you're talking to a dunce. Some people in this forum do not deserve your response.Kama ulikua una ndoto ya kua comedian ambia mods wakufungulie sehemu yako ya comedy na ushabik.
Siku ukijiskia kurudi huku kwa mijadala ya watu wazima njoo nikufundishe maana ya SGR.
Nmeishiwa nguvu kabisa kuna njemba ananitambia eti model yao ni ya 2015 uku unajipiga kifua mbele π π πKwahiyo nyie wakunya mnavyoona hii model ni ya 2015 hii[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787] u r lost[emoji205][emoji205]View attachment 1760767View attachment 1760769
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmeishiwa nguvu kabisa kuna njemba ananitambia eti model yao ni ya 2015 uku unajipiga kifua mbeleKwahiyo nyie wakunya mnavyoona hii model ni ya 2015 hiiu r lost View attachment 1760767View attachment 1760769
Sent using Jamii Forums mobile app
Km hii ndio train ya Nijeria kweli iko poa snaa...diesel lakini ya moto....hawa wapuzi wa kaskazini wajifunze apoNigeria's SGR Terminal plus trains
MY TAKE
Way better than what was built by our yapping neighbor!
Mjinga ni mjinga tuu...sasa hii watasema ni ya 2021 sioKwahiyo nyie wakunya mnavyoona hii model ni ya 2015 hii[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787] u r lost[emoji205][emoji205]View attachment 1760767View attachment 1760769
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjinga ni mjinga tuu...sasa hii watasema ni ya 2021 sioView attachment 1761091