The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Tatizo la Wakenya madaraja huwa mnaita interchange, hebu weka picha ya hizo interchanges tucheke hapa, hiyo Nairobi yenyewe interchange yake inachekesha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimeona akisema eti Dar ina interchanges nyingi kuliko Nairobi alafu anataja interchange tatu. People joke too much. Kisumu yenyewe iko nazo tatu complete na mbili UC. My home village of Chavakali has an interchange, Eldoret has 2 under construction. Nakuru has 2, Mau Summit has 1, Kitale has 1, Meru has 1 and 1 under construction, Thika has 2, Mombasa several alafu mwengine anaturingia na tatu. People joke too much. Tell him Nairobi alonehas more than 20 complete interchanges with more under construction. People joke too much. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Weka picha wacha maneno.Nairobi tayari ina more than 10 interchanges that are complete. Yaani hata naomba NairobiWalker aniambie Nairobi ina interchanges ngapi ambazo zipo complete maana idadi yenyewe ni kubwa. Nairobi expressway pekee itakuwa na interchanges kumi. Sasa sijui unaringa nini.
Wewe ndio unastahili ujifunze maana ya neno interchange.Tatizo la Wakenya madaraja huwa mnaita interchange, hebu weka picha ya hizo interchanges tucheke hapa, hiyo Nairobi yenyewe interchange yake inachekesha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inaitwa clover leaf interchange. Najua huko kwenu hamna kama hii. Ushamba wako umekubuhu.Interchange za Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1736214
Sent using Jamii Forums mobile app
Ss hiyo ni clover leaf au mfano wa clover leaf [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii inaitwa clover leaf interchange. Najua huko kwenu hamna kama hii. Ushamba wako umekubuhu.
Usijifanye mjuaji wakati mambo haya nyie Watanzia hamuyaelewi. Mumeanza kujenga interchanges juzi.Interchange za Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1736214
Sent using Jamii Forums mobile app
Aawapi Mention them!Nairobi tayari ina more than 10 interchanges that are complete. Yaani hata naomba NairobiWalker aniambie Nairobi ina interchanges ngapi ambazo zipo complete maana idadi yenyewe ni kubwa. Nairobi expressway pekee itakuwa na interchanges kumi. Sasa sijui unaringa nini.
Kwahiyo unataka kusema hii interchange ipo Nairobi?Usijifanye mjuaji wakati mambo haya nyie Watanzia hamuyaelewi. Mumeanza kujenga interchanges juzi.
Tazama picha za clover-leaf interchange nilizopata mitandaoni. Yaani wacha nikutoe ushamba leo. Halafu clover-leaf interchange inajengwa kila mahali hata nchi za ulaya.
Render inakaa hivi
View attachment 1736218
Picha kwa ground inakaa hivi
View attachment 1736219
Hii hapa chini ni clover-leaf interchange ya Germany
View attachment 1736220
Kwa hivyo kama unadhani kuwa interchange zote zinafanana na ubungo interchange then umekosea sana. Jifunze kwanza neno interchange ina maana gani kisha uje tudebate
Mbona isiwe interchange? Wewe unaelewa neno interchange ina maana gani? Unajua nashangaa education system yenu huwa mnaenda kufunzwa nini shuleni? Interchange ni any grade separation. Yaani kuna gari zinazopita chini zinazoenda upande mmoja na kuna zinazopita juu zinazoenda upande mwingine bila kukutana wala kusimama ili kupisha gari zingine zipite.Mlivyo na akili mbovu mtasema hii nayo ni interchange [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji86][emoji86]View attachment 1736213
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeleta interchanges za ulaya ili kuonyesha The best 007 kwamba clover-leaf interchange ipo katika nchi za ulaya. Alikuwa anasema kwamba clover-leaf sio interchange.Kwahiyo unataka kusema hii interchange ipo Nairobi?
Hebu list hizo interchange 10!Wewe ndio unastahili ujifunze maana ya neno interchange.
Of course hio ni interchange. Sasa unapingana nini wewe? Kuna aina nyingi za interchange na sio lazima zote zifanane na ubungo, sawa? Hamna kitu cha kucheka hapo.An interchange in Kenyan standards [emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji90][emoji90][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji3545][emoji2781]View attachment 1736221
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nikisema kitu namaanisha na wala sibahatishi. Kwani unadhani nakudanganya ninaposema kwamba Nairobi expressway ina interchanges kumi? Mimi sina muda wa kukudanganya ilhali nikikupa ukweli ndio itakuuma zaidi, so wacha nikupe ukweli. Sasa nataka nikupe evidence uliyoitisha complete with pictures ndio ushikwe na wivu kabisa, ukitaka ujinyonge kabisa au umeze wembe.Hebu list hizo interchange 10!
Wacha upumbavu hazijafika 10 halafu mbona unaleta renders kwa vilivyojengwa tayari? Yaani hata highway exit and entrances unaita interchanges?Mimi nikisema kitu namaanisha na wala sibahatishi. Kwani unadhani nakudanganya ninaposema kwamba Nairobi expressway ina interchanges kumi? Mimi sina muda wa kukudanganya ilhali nikikupa ukweli ndio itakuuma zaidi, so wacha nikupe ukweli. Sasa nataka nikupe evidence uliyoitisha complete with pictures ndio ushikwe na wivu kabisa, ukitaka ujinyonge kabisa au umeze wembe.
Mlolongo 0+000
Mlolongo 2+500
SGR Terminus 6+200
JKIA 8+000
JKIA Render
Eastern bypass 10+000
Eastern Bypass Render
Enterprise Road 12+000
Southern Bypass 15+500
Southern Bypass render
Capital Center 17+000
View attachment 1736242
Museum Hill 22+000
Museum Hill render
Westlands 24+000
James Gichuru 26+700
James Gichuru Render
Geza Ulole hesabu hizo interchanges uniambie kama zimefika kumi au la.
The best 007 njoo hapa ujifunze maana ya neno interchange. Nairobi expressway ina interchanges kumi. Yaani mradi mmoja pekee una interchanges kumi na bado mnataka battle ya interchange? Leteni battle kuhusu jambo lingine lakini sio interchange. Hapa tumewagonga.