That's why I said, Jealous never live longer, is the same as if you visit a car manufacturing plant and you see a car without seats inside and start complaining foolishly.
I am sure you know very well that the construction is underway, why don't you ask about electricity because electric cables are not there, is that means that our trains will use diesel?, stop your Jealous.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
wako desperate kutafuta makosa hata wakati ujenzi unaendelea!
For starters nilijisemea mimi sio expert, but that doesn't negate my right to be worried as any other tax paying citizen. Vile vile haimaanishi hutakiwi kuhoji chochote kwenye mradi kabla haujakamilika infact hiyo ndo hatua nzuri ya kufanya review!View attachment 1637419
Am no expert but basic physics gets me worried, This warping is not good!
taxpayer kwa nani? Wewe ni Mkenya kahoji Uhuru fedha za coronavirus zi wapi!For starters nilijisemea mimi sio expert, but that doesn't negate my right to be worried as any other tax paying citizen. Vile vile haimaanishi hutakiwi kuhoji chochote kwenye mradi kabla haujakamilika infact hiyo ndo hatua nzuri ya kufanya review!
Being an Engineer myself I can tell you for a fact the number is way above 400All registered engineers in Tanzania ni 400 my friend, mbona unahangahika?[emoji1787][emoji1787]
Wewe kuniita mkenya, mTanzania, mmarekani mganda.... is neither here nor there haitobadilisha uraia wangu. Focus zaidi kwenye mada mzee.taxpayer kwa nani? Wewe ni Mkenya kahoji Uhuru fedha za coronavirus zi wapi!
Theres a difference between fokker 28 and 70 though, im sure it has a couple of years until its retired, wacha ndege ifanye kazi yakeUhuru anatumia fokker kama hii!
Kama zinazotumiwa na baraza letu la mawaziri
so how do u tell yours is fokker 70 and not fokker 28?Theres a difference between fokker 28 and 70 though, im sure it has a couple of years until its retired, wacha ndege ifanye kazi yake
Can you qualify your statement, registered with whom? What type of engineers are you talking about? There are many types of engineers ie Civil Engineers; Mechanical Engineers; Electrical Engineers; Air-craft engineers etc.Tanzania kuna only 400 registered engineers wakati Kenya engineers ni 2000. [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Can you qualify your statement, registered with whom? What type of engineers are you talking about? There are many types of engineers ie Civil Engineers; Mechanical Engineers; Electrical Engineers; Air-craft engineers etc.
But there are a lot of qualified engineers who do not want to register with local registration boards as they have been registered with international organisations or others in more developed countries whose requisite are more stringent. Also others do not care about registration as they manage to make good business as they perform at their highest degree.hamna cha ku-qualify go to EAC reports and you will see Tanzania has more engineers than any other country in EAC!
so this tendency of locals not wanting to register with local registration boards is only happening in Kenya only? every engineer has a number and so far a comparison is local registered engineers! And Tanzania beats Kenya by far!But there are a lot of qualified engineers who do not want to register with local registration boards as they have been registered with international organisations or others in more developed countries whose requisite are more stringent. Also others do not care about registration as they manage to make good business as they perform at their highest degree.
Leo 400 imepiga 2000?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kweli watanzania wengi ni vichaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ushaiba ya nchi ingine[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wapi penye imeandikwa ni Tanzania?hii mada imenipita.. mnaweza kuirudia tena?? hapa umeingia 18 zangu
View attachment 1637933
Ushaiba ya nchi ingine[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wapi penye imeandikwa ni Tanzania?
Leta link.afadhar umekuja
dogo hio ni website ya engineers registration board tz (erb.go.tz)
na hizi idadi ni kwa wale waliojiregister tu kwenye hii board.. kuna wengine ni maengineers lkn hawajiregister!
afadhar umekuja
dogo hio ni website ya engineers registration board tz (erb.go.tz)
na hizi idadi ni kwa wale waliojiregister tu kwenye hii board.. kuna wengine ni maengineers lkn hawajiregister!
Leta link.
Ok, hapa nimesurrender. Ningekuwa engineer ningeendelea na argument but bahati mbaya I'm not one and I can't access the portal ya Kenyan side[emoji1787][emoji1787]www.erb.go.tz
au
registration.erb.go.tz
karibu kwa maswal mengine
wazee huyu kwenye hii sector hachomoki [emoji23][emoji23]
kaingia kwenye 18 za watu[emoji23]
Ok, hapa nimesurrender. Ningekuwa engineer ningeendelea na argument but bahati mbaya I'm not one and I can't access the portal ya Kenyan side[emoji1787][emoji1787]
Hapa nimesurrender. Ukitaka battle nitafute kwa field ya Medical Microbiology and Biotechnology[emoji23][emoji23][emoji1787]safi kwa kusurrender [emoji122].. huo ndo uungwana [emoji1]