Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Time is money bruh! wacha kutumia kichwa Kama kabati ya meno.
 
We are waiting for you guys to introduce bullet trains πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Sio Mvua alone.
Unafahamu kuwa kuna local suppliers hawajalipwa fedha zao ? Na sio kosa la YAPI ni Principal anachelewesha.
Ila tukirudi kwenye Ubora wa SGR ni mapema kulinganisha kati ya mradi ulomaliza na unao sua sua. Tusubiri uishe then tuta compare.
Kwa sasa Sgr Tanzania ina struggle vibaya mno kumaliza kwa wakati ambao umepita na ubora wa reli yenyewe .
Kuna suala lime ongelewa hapa la Cargo na Sgr kupita Port ya Dar..Jee ni kweli Bandari haikuwemo katika mkataba na YAPI ? Kwa nini ? Na nani anajenga kioande hicho muhimu. .
Jee kama bado tenda imetoka ? Tukumbuke nchi jirani wanaangalia SGr na Bandari kwao ndio muhimu .
Hivo haya masuali ni muhimu kujibiwa kwa uhakika without kubabaisha


Sent from my iPad using JamiiForums
 
I warned you earlier not to feed the Troll, now you feel the consequences, she will drive you insane if you persist responding to her childish posts...

Gharama zinapanda sana na tatizo sio mvua tu bali fedha.
Miezi Mi 8 maana yake moja ya gharama ni
kuwalipa wafanyakazi kwa extra 8 months na
Kulipa huduma nyengine kwa miezi 8 na pia
kulipa riba kwa miezi minane.
kukodi machines , umeme ,maji nk
Usichukulie poa tu


Sent from my iPad using JamiiForums
 
wewe huna akili ni chokoraa flani ivi usiye na maintanance kwa ubongo wako.......

contructor kashalipwa pesa yake hivyo awahi au achelewe ni juu yake yeye kikubwa ni mkataba unasema vipi acha ushoga


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Contractor analipwa kutokana na perfomance . Advance payment hupewa mwanzo wa mkataba ambayo huwa baina ya 20-30% ili awezu kufanya mobilization .
Then hupewa kila % ya mkataba unavomaliza kwa kupewa certificate of completion.
Mwisho wa kazi huka bidhi mradi na kupewa 10% yake ambayo huwa retained.
Wewe ukitukana ukitoa majina kwa baba zako shauri yako.
Sgr bongo ni bogus kwa vile wabongo sio wafuatiliaji ni washamba wamebanwa na cowards watapiga vigelegele tu.
Wenzao wa Kenya mradi tangu day one unaandikwa, unakosolewa na unashauriwa. Vyombo vya habari na wana siasa wana toa mawazo wanakosoa . Umesaidia serikali hata kama wameiba lakini umemaliza kwa wakati .
Leo Sgr bongo no body anaruhusiwa kutoa ushauri , kukosoa au kupendekeza.
Ni waandishi kukusanywa wakapewa bahasha kutembelea mradi ili kuandika kuwa unaendelea vizuri na kumsifu jiwe.
Haya bakini kusifu na kuoiga vigelegele


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Sgr bongo Contractors wenza Wa Portuguese Company wame shamwaga manyanga zamani...au tuzidishe sauti ?


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…