Kawaida hua watu wanakata ticketi online wanaingiza details kama seat number,date, Jina, ID Number alafu wanalipa na kupewa ticket number....nikikata ticket kutokea home afu nikaenda kuverify hapo station na kupewa official ticket (boarding pass) nitatumia muda mdogo kuliko mtu anaenza kukata ticket akiwa station, coz atatumia mda mwingi kuingiza data zake kwanza..
kupunguza msongamano ndo mana wanaweka online system, otherwise kama system zote zinatumia mda sawa kituon.. bas hakuna haja ya online system
Kwani huko kwenu mtatumia nini????? Kwasababu suluhisho lilobakia ni kutumia QR code app. Na hio system ya QR code pia iko na msongamano wakati wa kuingia kwa jukwaa la reli manake ni rahisi zaidi ku scan tiketi ya karatasi kuliko mashini ku scan QR code yenye iko kwa simu.Wewe ndio mshamba hiyo system mlioweka ya boarding pass ndio failure yenyewe, mchina anawaletea system za kizamani Sana, Treni sio ndege kwamba ni lazima iwepo boarding pass,
Ulaya nzima sijawahi ona boarding pass screens train stations mara nyingi kuna mashine za kununua ticket aside online possibilities!Kwani huko kwenu mtatumia nini?????
Mkuu Mimi Niko huku sijawahi ona hiyo kitu, watu tunascan code ziko kwenye simu wala hakuna usumbufu wowote.Ulaya nzima sijawahi ona boarding pass screens train stations mara nyingi kuna mashine za kununua ticket aside online possibilities!
Wakiweka Card ni Rahisi kabisa. Hiyo ndio system niliyoiona United Kingdom..Tena hiyo card unaweza tumia kwa BRT, Taxis.Mkuu Mimi Niko huku sijawahi ona hiyo kitu, watu tunascan code ziko kwenye simu wala hakuna usumbufu wowote.
Yaani iko hivi ukinunua ticket online system inakuuliza Kama unataka hard copy ndio utaenda print station ila soft copy inakudondoshea kwenye simu ukifika kwenye barriers unascan watu wengi ukiondoa wazee wanatumia Sana simu hata kwenye bus ni hivyohivyo unascan code iliyo kwenye simu ni rahisi haina usumbufu ukilingsnisha na karatasi
Earlier you said there were only 6 ticket scanning machines before the bording patorm, now that I hve disproved that you changed your mind that its no the problem area...1. Have your chinese masters realized that the single long line with sniffer dogs is a bottleneck?
2.Have they realized the 6 ticketing stations are a bummer for 2k People?
3.Do they understand the most time is spent at the scanning stations with only 2 machines where men have to untie their belts & women take off ear rings?
4. The 6 or more boarding gates you show there are usualy a no congestion area. The bottlenecks are before that
Mkuu Mimi Niko huku sijawahi ona hiyo kitu, watu tunascan code ziko kwenye simu wala hakuna usumbufu wowote.
Yaani iko hivi ukinunua ticket online system inakuuliza Kama unataka hard copy ndio utaenda print station ila soft copy inakudondoshea kwenye simu ukifika kwenye barriers unascan watu wengi ukiondoa wazee wanatumia Sana simu hata kwenye bus ni hivyohivyo unascan code iliyo kwenye simu ni rahisi haina usumbufu ukilingsnisha na karatasi
Wakiweka Card ni Rahisi kabisa. Hiyo ndio system niliyoiona United Kingdom..Tena hiyo card unaweza tumia kwa BRT, Taxis.
Mambo ya ku print Boarding pass au tiketi ni ushamba wa kizamani
Boss, I do not work for SGR neither am I intrested in counting all the service desks there..That is why i said i probably remember 1 long line outside, 10 ticket desks but my recollection says i only saw 6 clerks sitting, 2 scanning machines & 6 boarding gates.Earlier you said there were only 6 ticket scanning machines before the bording patorm, now that I hve disproved that you changed your mind that its no the problem area...
On this Pic alone, there are 10 ticket counters, And If you have been to the station like you claim, you know that on another side of this stretch there is a corner where there are other ticket counters.
View attachment 1365302
Ukisoma maandishi hapo kwa LED board , kuna mahali imeandikwa "ticket selling stops 10 Minutes before departure"
Hio ni guarantee kwamba ukinunua ticket kabla hizo dakika kumi za mwisho, ... Utaweza kutoka hapo kwa ticketing na Kuenda kufanyiwa baggadge scanning, full body scanning na uningie kwa stesheni na uweze kupanda treni!!!! Infact, inakupatia uwezo wa kuwashtaki kotini kama utapewa tikiti dakika 11 kabla treni iondoke alafu uwachwe na treni kwasababu ulipoteza mda huo wote ukivua ukanda na pete kwa metal detector Kwahivyo hio messenge ya 10 minutes b4 departure ina cancel hio point no.3 yako ya eti xray machines hazitoshi, Nairobi iko na 4 X-ray machines zile za high capacity ambazo ziko na speed ya kuscan mizigo mingi kwa mpigo.
When the 4 x-ra scanners were being installed
View attachment 1365387
NO one has even been left because of the Security checks at the station.....
Am talking about Oyster Card in Britain which I use when am there for both short & long Train & bus Rides across the UK.Unasema hujawai ona hivyo vitu alafu unajisahau na kusema kuna mahali unaulizwa kama unataka ku print hard copy au utatumia soft copy QR pass. kumaanisha system zote zinatumiaka !!!
Huko Euorpe hata tiketi za ndege siku hizi wameanza kufanya hivyo
Hebu sasa niambie, pale JNIA ile terminal III yenu mpya, Mbona hamkuweka hio system?? Mbona bado mnatumia system ya ku print ticket????
Cards are for Commuter/metro rail where you expect to be using the card daily, not long distance train travel where you only travel like 4 times a year
Don't you remember how the likes of beba pay that you could use for matatu and Nairobi commuter rail failed because everyone still wanted to pay cash and be done with it? We could easily adopt that system to the SGR but we know no one is gonna use those cards
Nairobi Commuter Train
We shall revisit this story when Dar station starts operating and you will see why if 21,400 sq.m seem sweaty and crowded and can't fit 1,600 people at once, then 13,000sq.m will be a whole lot worseBoss, I do not work for SGR neither am I intrested in counting all the service desks there..That is why i said i probably remember 1 long line outside, 10 ticket desks but my recollection says i only saw 6 clerks sitting, 2 scanning machines & 6 boarding gates.
That long Queue you posted here plus sweaty crowds on the escallator shows the quality of service is very poor.
My understanding is that boarding starts at 7AM & the train goes at 9AM..2 hrs with enough service desks there is no need of even a large waiting bay.
The point is surface Area of a station has nothing to do with unnecessary Sweaty Crowds..Everything is dependent on service stations & available man power
Key word being 'they can' not they will, Just like we could have easily integrated Beba pay with the SGR but we have not.Am talking about Oyster Card in Britain which I use when am there for both short & long Train & bus Rides across the UK.
For Tz they can intergrate their BRT card to SGR if they want Quick processing
View attachment 1365471
Sema jomba hukuelewa ulivyoelezwa au pia huenda una zuga...Nimeuliza ni physics gani mnatumia kusema reli ya axle load 25 tones inabeba mzigo zaidi ya yenye axle load 35 tones? Unajua axle load 35 tones means 140 tones for a wagon (2 infront, 2 behind) while for ur sgr means 100 tones for a wagon! So tell me having a rail that can afford to carry 140 tones and one that can afford 100 tones which one is more durable and with a capacity to carry more load?
Ni kama uwe na barabara yenye load limit ya 100 tons halafu ujitambe unaweza unaweza kubeba cargo zaidi ya mwenye barabara ya load limit 150 tons! Akili za Kariobangi ndo hudanganywa hivyo! If axle load is 25 tons that means 100 axle loads per wagon moving at 80km/h! There is no way u can claim of having more load capacity than one with axle load of 35 tons and subsequently 140 tons per wagon and yet having electrical engines that can pull a 2 km long train and moving at 120 km/h! Even turn around/dwelling time aside traffic is lower for a faster train with a bigger axle load! The maths n law of Physics don't add up! May be Chinese way of conning Kunyans!Sema jomba hukuelewa ulivyoelezwa au pia huenda una zuga...
Jamaa kakunyoeshea maelezo vizuri, wewe umeanza kupindisha pindisha km kawaida yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Means that all r U/C.Show me planned projects that have completed in TZ!
We ni jingaNi kama uwe na barabara yenye load limit ya 100 tons halafu ujitambe unaweza unaweza kubeba cargo zaidi ya mwenye barabara ya load limit 150 tons! Akili za Kariobangi ndo hudanganywa hivyo! If axle load is 25 tons that means 100 axle loads per wagon moving at 80km/h! There is no way u can claim of having more load capacity than one with axle load of 35 tons and subsequently 140 tons per wagon and yet having electrical engines that can pull a 2 km long train and moving at 120 km/h! Even turn around/dwelling time aside traffic is lower for a faster train with a bigger axle load! The maths n law of Physics don't add up! May be Chinese way of conning Kunyans!