Uhuru n Umoja
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,160
- 2,227
One day, very soon tutasafiri kutoka Dar mpaka Nairobi kwa treni ya umeme, kutoka Mombasa mpaka Arusha, mwanza mpaka kisumu.. that day when all East Africa will be connected..
Viongozi wetu wanajitahidi pale wanapoweza kutuletea maendeleo, hii miradi mikubwa ni kwa ajili ya wananchi, tukiangalia haya beyond siasa na ushindani usio na tija tuna mengi sana tutafaidika nayo.
Kenya wameshajenga, wanaweza kusaidia uzoefu wakati Tanzania inajenga yake..
Ushauri wangu, Tuangalie uwezekano wa kuunganisha nguvu nchi za Afrika Mashariki kuwa na chuo kimoja cha mambo ya Reli.. ambapo wataalamu wote watajifunza hapo badala ya kuingia gharama ya kuwa na vyuo separate vinavyofundisha kitu kimoja.
Well wangekuwa level ya South Korea au U.K..Kenya ni noma hakuna ubishi,,,wanajua the best!!!
I agree with ur thoughts lakini kumbuka hizo station za dubai were very expensive, dubai wanajenga kitu na budget kubwa sana, money is not issue to them.but they look for something out of this worldNimeangalia huu mradi wa Kenya kwa ukaribu sana na kugundua kua wamepigwa kwa kiasi kikubwa.
Ukiangalia stesheni zao ni zinajitahizi ila platform ziko open yaani wakati wa mvua ni majanga.
Pia nimefuatilia mradi wetu kwa ukaribu mkubwa sana.
Jambo moja zuri sana lililofanywa na Magufuli ni kufuta dili la kwanza na kuanza upya na kumpa mradi makandarasi aliye tukuka na aliyejenga miradi kibao ya maana yenye ubora wa dunia "YAPI MERKEZI" nimeengalia stesheni zao nyingi pia, mwenzetu mmoja aliwasiliana nao na walidai kua, wanafanya kila kitu kuanzia kudizain mpaka kujenga.
Wamesema, wanadesign za steshen zaidi ya miambili inlcudi zakwao walizojenyga DUBAI, QATAR, MEDINAH na za wakenya but wanamake sure wanakuja na kitu KIZURI ZAIDI.
kazi za YAPI MERKEZI
Haramain High Speed Railway Madinah Station
Dubai Metroβs Burjuman Station
Taksim-Kabatas Funicular System
KAZI ZA MKANDARASI ALIYE TUKUKA YAPI MERKEZI
na wameahidi kuja na design nzuri zaidi.
Hawa jamaa waturuki nawakubali sana, wachina wamekuwa too mainstream wapo kila mahali, barabara wao, majengo wao.. at least tuwe na diversity kidogo.Nimeangalia huu mradi wa Kenya kwa ukaribu sana na kugundua kua wamepigwa kwa kiasi kikubwa.
Ukiangalia stesheni zao ni zinajitahizi ila platform ziko open yaani wakati wa mvua ni majanga.
Pia nimefuatilia mradi wetu kwa ukaribu mkubwa sana.
Jambo moja zuri sana lililofanywa na Magufuli ni kufuta dili la kwanza na kuanza upya na kumpa mradi makandarasi aliye tukuka na aliyejenga miradi kibao ya maana yenye ubora wa dunia "YAPI MERKEZI" nimeengalia stesheni zao nyingi pia, mwenzetu mmoja aliwasiliana nao na walidai kua, wanafanya kila kitu kuanzia kudizain mpaka kujenga.
Wamesema, wanadesign za steshen zaidi ya miambili inlcudi zakwao walizojenyga DUBAI, QATAR, MEDINAH na za wakenya but wanamake sure wanakuja na kitu KIZURI ZAIDI.
kazi za YAPI MERKEZI
Haramain High Speed Railway Madinah Station
Dubai Metroβs Burjuman Station
Taksim-Kabatas Funicular System
KAZI ZA MKANDARASI ALIYE TUKUKA YAPI MERKEZI
na wameahidi kuja na design nzuri zaidi.
acheni kubweka bweka kaa mbwa koko,ekeni mapicha ya hiyo superior sgr ya umemeπHawa jamaa waturuki nawakubali sana, wachina wamekuwa too mainstream wapo kila mahali, barabara wao, majengo wao.. at least tuwe na diversity kidogo.
Ila Kikubwa ni kuwa.. China walifanya uhuni mkubwa sana na viongozi wa Afrika kwenye miradi ya miundombinu.. sio Kenya tu au Angola na Zimbabwe, hata hapa tz kuna miradi ilifanywa kwa gharama sana ila kiwango kidogo.
Na hilo ndilo lililomstua Magu.. mradi wa reli tumshukuru sana Mungu hauku-mature kipindi cha awamu iliyoisha, tungepigwa sana hela kama majirani zetu.
Ila bado tuna mengi kama Afrika Mashariki kushirikiana hasa kwenye suala la miundombinu, reli ni gharama kujenga na kutunza, kingeanzishwa chombo cha pamoja cha kushirikiana kwenye haya masuala ya miundombinu ili kuleta tija na ushindani hapa Afrika. Mashirika yetu ya reli hayawezi kushindana kwa kuwa yanafanya kazi katika sehemu tofauti.. kama hayashindani kwa nini yasiungane kushirikiana?
mbwa koko ukoo wakoacheni kubweka bweka kaa mbwa koko,ekeni mapicha ya hiyo superior sgr ya umemeπ
I agree with ur thoughts lakini kumbuka hizo station za dubai were very expensive, dubai wanajenga kitu na budget kubwa sana, money is not issue to them.but they look for something out of this world
Hahaha asante sana! Kilo mbili zinatosha kabisa.. sai naenda kutafuta miwa nitengeneze sukari yangu home made!Kafrican you are my 'man of the match' kwa hii thread. Yani umaemua utatuharibu tu na mafacts after facts and in details hadi huyo jamaa wa giza' (geza) akaona giza. heheheh pewa unga kilo mbili kwa gharama yangu ama namna gani my fren
Mi ndo niwape nyie unga maana kuna njaa huko Kenya!Hahaha asante sana! Kilo mbili zinatosha kabisa.. sai naenda kutafuta miwa nitengeneze sukari yangu home made!
Nimeona watz kadhaa pia wakilalamika bei ya bidhaa imepanda kwahivyo usijifanye eti huko kila kitu ni rahisi....Mi ndo niwape nyie unga maana kuna njaa huko Kenya!
Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
Nitazilinda with my life..kama huyu mseeKafrican you are my 'man of the match' kwa hii thread. Yani umaemua utatuharibu tu na mafacts after facts and in details hadi huyo jamaa wa giza' (geza) akaona giza. heheheh pewa unga kilo mbili kwa gharama yangu ama namna gani my fren
Ndo mlipofikia mkiambiwa mna-cook data mnabisha!Nitazilinda with my life..kama huyu msee
View attachment 507968
Naskia unaeza kutumia unga kama security ya kupata loan kwa bank?
Sio kila kitu ni mashindano, wacha kuharibia watu wakiwa kwa light moments #buzz_kill
Hahaha asante sana! Kilo mbili zinatosha kabisa.. sai naenda kutafuta miwa nitengeneze sukari yangu home made!
Yaani saa hii Kenya kila mtu anajitengenezea sukari. Njaa soo. .kidogo kidogo utaskia miwa bei yake imepanda. ππ
Yaani saa hii Kenya kila mtu anajitengenezea sukari. Njaa soo. .
Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app