Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,398
Halafu we jamaa uwe unatumia common sense,when somebody is saying am the best,it means there are better,good,bad,worse and so onThe problem with you is that you only depend on what you here and not what you see and read. When Khalid is saying "we are the best", who/what is the subject and who/what is the object in his phrase? What I did earlier was comparison between Kenyan railway to others' in this region that's why I assumed the 'the' (which is optional). Now tell me, who/what is Khalid comparing himself to ? I'm sure you don't know, you will only guess. For your information digest more of these examples;
• Nairobi is most developed city in the region.
• Kilimanjaro is tallest mountain in Africa.
• Lake Victoria is largest fresh water lake in Africa.
Do you have issues with those?
Am waiting to see[emoji23][emoji23][emoji23] DOUBLE STACKED CARGOES?? Dogo nisamehe kwa kukucheka lakini hamna kitu kama hiyo. Labda ulimaanisha wagons zinazoweza kufanya double stacking. Hata hivyo ningependa kukujuza kuwa your railway (AREMA standard) haikubalishi kufanya double stacking.
Usitoe povu bwanaa
Huwa hakuna option ya kutumia "the" katika maneno ya kariba ya most,best,worst,n.k
Unachokifanya wewe ni kuleta uhuni kwenye lugha za watu unamsikia dj khaleed anajiita "we the best" angeweza kujiita "we best" au "we a best"..ila kwa sababu anajua umuhimu wa "the" kwa "best".. ukitaka kutumia neno "best" ni lazima lazima lazima uanze na "the"
The car is best
The car is a best
English ya kihuni kabisa!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haaaa...teargas..unaiona mifano ya kilumumba huku...mamayangu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa kakuletea vitu amabavyo haviingiliani na mada kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani wewe ndo kilaza kabisaaaa bora hata huyo teargas...!!
Even kiswahili chenyewe hujui.. .eti "amabavyo"!!!
Yaani wewe ndo kilaza kabisaaaa bora hata huyo teargas...!!
Even kiswahili chenyewe hujui.. .eti "amabavyo"!!!
We kilaza achana na mimi,usije niambukiza..Even kiswahili chenyewe ndo nn?[emoji1787][emoji1787]
We kilaza achana na mimi,usije niambukiza..
😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴Imekuingia sio...[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]sasa ujifunze kujadili hoja na mm...
Ukileta ujinga nakuweka sawa,ukija na facts tunajadili kiutu uzima
[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Naziona, hapo ndo milingoti ya stima itasimamaWanaona extension hzo kw ajili ya nguzo za umeme
At a cost of $400 mln in additionWanaona extension hzo kw ajili ya nguzo za umeme
Bro kuwa serious basi [emoji23][emoji23][emoji23]sasa kibera panahitaji umeme kweliInakuje taifa la uchumi wa kati Kenya 2700MW hamtumii zikaisha?Hamna viwanda uko umeme mna recharge tu simu sio
Imekuingia sio...vp mabehewa..mmesha order..manake bajeti yenu ni ya ujenzi tu pekeakeAt a cost of $400 mln in addition
Inakuje taifa la uchumi wa kati Kenya 2700MW hamtumii zikaisha?Hamna viwanda uko umeme mna recharge tu simu sio