Eneo la suswa ni eneo ambalo liko na continental fault line na mara kwa mara ardhi hupasuka na kuachana haswa kama kunanyesha, Ki ufupi bado the great rift valley inaendelea kugawanyika hilo eneo la suswa, Hio tectonic shift huendelea na mwishowe kunatokea milima ambayo inaitwa block mountains
Still.. that is the exact look of shaolin templesEneo la suswa ni eneo ambalo liko na continental fault line na mara kwa mara ardhi hupasuka na kuachana haswa kama kunanyesha, Ki ufupi bado the great rift valley inaendelea kugawanyika hilo eneo la suswa, Hio tectonic shift huendelea na mwishowe kunatokea milima ambayo inaitwa block mountains
Suswa block mountains
Suswa fault lines
Kuna uwezekano miaka 100-200 kuanzia sasa bara Africa likagawanyika na kua hivi
Anyway, hizo faul line ndo huchangia formation of block mountain
Hio station ya Suswa imekua inspired na Fault mountain - Haswa reverse fault mountain
Ofcourse.. Kenyans wamepewa kazi za ulinzi na kusafisha vyoo.Are these designs done by Chinese architects?
whatever makes you feel tingly inside
Kenya Railway Training Institute, Ndani ya ile loan ya mchina, $100m ilikua ni ya mafunzo hapa Kenya, Alafu mbali na hivyo, kila mwaka kwa miaka 5 ijayo, wachina wanafaa ku sponsor wakenya 35 kwenda China kusomea masters ya technolojia tofauti za reli
Mmesha tengeneza Loss ya Usd 100m mwaka wa kwanza!! hizo number zako za 50% ni upuuzi tu. Phase ambayo itaanza operations ya Dar-Moro-Dom haitokuja ku make hiyo loss kamwe. Kenya mnamatatizo yakujidanganya kuwa mpo juu! sasa jiandaeni kuja kuona faida itakavyo tengenezwa kwenye SGR ya Tz.I know I am late for the party but can someone explain to me how Tanzania intend to repay stanbic 1.5B dollars commercial loan and when if ever this rail will turn profitable. Unlike kenya that has Nairobi (most of cargo from Mombasa ends in Nairobi - possibly more than 50%) and UG/RW/SS (25%) how does Tanzania cargo looks like. I imagine most of the cargo end right there in Dar City and whatever remain is probably transit cargo to Rwanda & Burundi - maybe 2.5M tonnes - with Tazara handling the other 2.5M to Zambia & southern countries?
Dar port is probably handling 15M or less tonnes...twice less than Mombasa's 32 or about million tonnes.
Tanzanian SGR will be one big white elephant - and will really struggle to get cargo. Stanchart unlike EximBank of China will not be lenient. Ethiopia SGR has struggled and EximBank has been very generous - extending repayment period from 10yrs to 30yrs.
This project is nothing more than Magufuli/Tazania ego fight with Kenya. You have SGR - we will also build one. Kenya SGR is viable because of Nairobi.Beyond Nairobi it start having doubtful viability and Chinese are perfectly in order to be a little reticent in funding Phase 2B & C - Naivasha to Kisumu & Malaba - without a firm commitment of Uganda (possibly including bonding Uganda to always reserve 40% of cargo for SGR like KPA did).
Running a railway is not cheap. Building the railway is probably cheaper than cost of running it - you may spend 3M dollar a mile to build it - but you'll probably need more than 200K usd per mile every year to maintain it - and don't even talk about the cost of running the trains themselves.
Mmesha tengeneza Loss ya Usd 100m mwaka wa kwanza!! hizo number zako za 50% ni upuuzi tu. Phase ambayo itaanza operations ya Dar-Moro-Dom haitokuja ku make hiyo loss kamwe. Kenya mnamatatizo yakujidanganya kuwa mpo juu! sasa jiandaeni kuja kuona faida itakavyo tengenezwa kwenye SGR ya Tz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuru is a sell out n your SGR deal is a scum! The fact that a world class bank with years of experience in business of lending imekubali kutoa pesa ukae ukijua kuwa numbers zina add up. Commercial banks hazitoi pesa kwa kuangalia collateral au maslahi ya kisiasa kama mchina anavyo fanya kupitia mgongo wa exim bank yake, wana angalia (principles of lending) mradi wenyewe. Wataalamu wamekaa London wamefanya mahesabu wakiwa informed wakaona watapata pesa yao wakaamua kutoa mkopo wewe umekaa hapo Kariobangi huna ata ka microfinance unasema mradi haulipi!!!Ata mimi nashangaa na hii SGR ya TZ.
Inajengwa na loan ya benki, the worst types, na watanzania wamedanganywa eti ni pesa za ndani.
Does this $1.5b loan include;
-rolling stock and electric trains?
-port facilities for shuffling and loading of trains cranes kwa vile I have not seen them being built.
-How many passing stations and main stations?
-$1.5b no big bridges or viaducts?
Seems Kenya's deal was more transparent and we knew the bill of quantities. Unless a Tanzania can bring the details here and breakdown what they are actually getting and their costs in this project.
And passengers hawalipi pesa mingi kama freight. You cant overcharge the poor citizens. Most freight will stay in Dar. Kwahivyo kama madini from elsewhere will pay, the Tz SGR will forever be running at a loss and be subsidised?
Unajua sababu ya hasara au unajibu ili mradi tu.Nearly all business make losses n their initial years of operations. TZ business acumen is well known by it's absence. You have no cargo to transport from Dar to Morogoro. Passengers services don't make money for rails. It bulk cargo. Then containers next.
Uhuru is a sell out n your SGR deal is a scum! The fact that a world class bank with years of experience in business of lending imekubali kutoa pesa ukae ukijua kuwa numbers zina add up. Commercial banks hazitoi pesa kwa kuangalia collateral au maslahi ya kisiasa kama mchina anavyo fanya kupitia mgongo wa exim bank yake, wana angalia (principles of lending) mradi wenyewe. Wataalamu wamekaa London wamefanya mahesabu wakiwa informed wakaona watapata pesa yao wakaamua kutoa mkopo wewe umekaa hapo Kariobangi huna ata ka microfinance unasema mradi haulipi!!!
Kama SGR yenu inalipa kwanini kipindi hiki mchina anawazingua msitafute mkopo sehemu nyingine!! Hamna bank itaweka pesa kwenye mradi wa hovyo kama SGR yenu. Tutawapa shule ya bure ngoja mradi uanze kazi, mtamchukia Uhuru.
Sent using Jamii Forums mobile app