cost analysis ya kilimo na biashara ya mhogo.

MWANAWIMA

Senior Member
Joined
Nov 18, 2014
Posts
111
Reaction score
71
Habari watanzania wenzangu.
naomba mwenyeuzowefu katika uzalishaji na biashara ya mhogo anisaidie, natamani kama utaweka cost analysis kuanzia shambani ikiwezekana hadi usindikaji na masoko ya bidhaa hii ndani na nchi jirani kama zipo. Asante kwa huduma yako na barikiwa.
 
Mkuu unataka kulima mihogo wapi?.maana mimi ninauzoefu kidogo kwa maeneo ya rufiji......japo sasa uko mambo si shwari kiuslama.....ila ni jambo la muda tu.
 
Unaweza kumsaidia hata kwa hiyo location yako ili mradi swali lijibiwe
 
Mkuu unataka kulima mihogo wapi?.maana mimi ninauzoefu kidogo kwa maeneo ya rufiji......japo sasa uko mambo si shwari kiuslama.....ila ni jambo la muda tu.
Asante! huo uzoefu ulionao nimsaada mkubwa kama utautoa,
Niko Kigoma.
 
Wakuu mie pia ningefurahi kama nitapata elimu hii maana napenda lakini cijui pakuanzia
 
Mkuu unataka kulima mihogo wapi?.maana mimi ninauzoefu kidogo kwa maeneo ya rufiji......japo sasa uko mambo si shwari kiuslama.....ila ni jambo la muda tu.
mkuu avater yako mbona umeniiga,au wewe ni Dotto?
 
Mkuu unataka kulima mihogo wapi?.maana mimi ninauzoefu kidogo kwa maeneo ya rufiji......japo sasa uko mambo si shwari kiuslama.....ila ni jambo la muda tu.
mm natka kukifanyia kilimo hiki pale bungu karibu na kibiti nipe mchanganuo,mahitaj,gharama pia
 
Pangae au karibu na kibiti sec Almarufu kinyanya ndio unataka kulima mihogo
 
Back
Top Bottom