Corruption SCANDALS at TTCL

Nadhani hiki ndicho anachokiongelea Rais Magufuli!
 
Mwandosia yeye anasemaje
.zamani nilikuwa na mwamini sana ZITTO lakini kwa hii naamini sana 109% zitto alikuw anApewa mlungula ili asipige kelele
 
Ni mwenyekiti wa kamati flani ya bunge ambapo TTCL inaripoti kwenye kamati hiyo. Kwa hiyo details za takataka za TTCL anazijua vema. The same with Tanesco, ambako nako Zitto anasikika sana. Got the connections? PhD?
Zitto Kabwe njoo ujionee mwenyewe,umeruka sarakali umevaa msuli
 
Kwanini CTO/CFO wanakua wazungu tu? Kwani tanzania hatuna wataalamu?
Watalamu wa kitanzania ndiyo waliua mashirika ya umma ( SU) yote kwa kuendesha kimagumashi kifisadi na wengine kuendeleza ajira ya vilaza, michepuko, ndugu na jamaa huku wenyewe wakipiga Ufisadi kwa kwenda mbele, viongozi wa kitanzania ni shiiiiida.
 
Airtel endapo itarejeshwa kwa serikali ni vyema Uongozi uliopo ubakie huo huo lakini pato liwe la serikali, na endapo watathubu kuingiza manejment na bord za kitanzania wajue kampuni itakufa, tena kifo cha Aibu kubwa kutoka na Viongozi wa kitanzania kuongoza kimagumashi kifisadi nk.
 
Viongozi wa kitanzania kwenye mashirika ya Umma hufanya vioja vingi, wengine huajiri michepuko yao, ndugu zao, Rafiki zao huku wenyewe waipiga Ufisadi mkubwa, hakuna kiongozi wa kitanzania ataendesha shirika la Umma lidumu litengeneze faida pasipo kufanya Ufisadi au kuruhusu wengine wafanye Ufisadi,
 
Hiyo sentensi ya mwisho kuwa Zitto Kabwe alikuwa ana ushahidi lakini baada ya kupewa kitu kidogo akaamua kunyamaza ndio inanishitua kidogo Inawezekanaje kiongozi huyu machachari afanye hivyo?
 
"Wa kunikamata yupo,lakini wa kunifunga hayupo", I like this statement
 

Kati ya vitu ambavyo binafsi ningependa kuona vinafanyika ni kupitishwa kwa haraka kwa Sheria ya Kumlinda Mtoa Taarifa za Uovu (Whistleblower Protection Act). Watanzania wanajua madudu mengi yanayofanyika na hili wengi tunalijua kwani leo nimepitia na mimi archives zangu na kuona jinsi gani watu ndani ya ATCL walitusaidia sana kufichua madudu ya ununuzi wa Airbus 320. Watu walikuwa wanaona madudu lakini hawakuwa na namna ya kusema pembeni na hata sasa bado watu hawako salama kufichua maovu.. ukirejea suala la Oilcom kwa mfano. Tusipowalinda watoa taarifa na kuwazawadia wengi wataendelea kukaa kimya.
 
sasa zitto anahusikaje hapa, hivi yeye ndio rais, yeye ndio waziri mkuu, yeye ndi mkuu wa usalama wa taifa kila kitu zito jamani, hatumtendei haki mtu huyu.
Mkuu wacha kutetea maovu CCM ilifanya ufisadi na mikataba mibovu ikisaidiwa na baadhi ya viongozi wa upinzani huwezi kusema Zitto Kabwe hahusiki kwenye hili suala.
Zitto Kabwe kabla ya uchaguzi wa 2015 Financial Muscles zake zilikuwa kubwa sana na alikuwa mpaka na uwezo wa ku finance kampeni za wabunge aliokuwa akiwataka huko Kigoma je hizo fedha alizitoa wapi ? Kama sio kunufaika na madudu kama haya kupitia nafasi aliyokuwa nayo kama Mwenyekiti wa kamati ya fedha ya Bunge.
 
Plundering
 
TTCL alieifisadi sana ni MWANDOSYA...huyu ndio aliiuza kifisadi mtoto wake akapewa offa ya kusoma afrika kusini...
 
TTCL alieifisadi sana ni MWANDOSYA...huyu ndio aliiuza kifisadi mtoto wake akapewa offa ya kusoma afrika kusini...
Hiyo sio Mwandoysa mwenyewe baraza la mawaziri ya serikali ya awamu ya tatu ilibariki ubinafsishaji wa TTCL
 
Hiyo sio Mwandoysa mwenyewe baraza la mawaziri ya serikali ya awamu ya tatu ilibariki ubinafsishaji wa TTCL
ni kweli lakini kumbuka mwandosya ndie aliekuwa waziri wa wizara husika na ndie aliekuwa na ushawishi kwenye baraza la mawaziri na ndie aliesaini mikataba huyu ndio wakumkamata awataje wezi wenzake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…