Coronavirus: US overtakes China with most cases

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,148
11,196
Taifa la marekani limeipiku china kwa visa vya Corona Marekani imeripoti visa (81,782) na Italy visa (80,589).

Huku vifo kwa marekani pekee vikiwa 1,300 Italy ndio inaongoza kwa vifo ambavyo hadi sasa vimefikia (8,215).

Ikumbukwe kuwa mwezi mmoja uliopita China ilikuwa na wagonjwa zaidi ya 70,000 na marekani ilikuwa na kisa kimoja tu lakini ndani ya muda mfupi mambo yamebadilika.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili tatizo ni kubwa sana. Tuendelea kuomba Mungu ugonjwa huu usienee sana hapa nchini. Maana ukiangalia umati wa watu katika masoko (Tengeru, Usa River, Kikatii) kwa mkoa wa Arusha, na hali ya usafiri kwa kweli ni masikitiko makubwa sana
 
Back
Top Bottom