CORONA

CORONA

The Initiator huru

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
2,326
Reaction score
3,202
Nchi zilizoendelea zinafunga mipaka yake eg USA ili kupunguza ama kuzuia maambukizi ya virusi vya korona but Nchi za Kiafrika ambazo ni masikini zinasema zime jipanga kupambana na Corona.
Aliyetuloga waafrika Mungu ana muona
 
Kuishi katika ardhi ya Afrika ni kazi ngumu sana. Hatuna uwezo hata wa kupambana na homa ya matumbo ila tunajikweza kuwa tunaweza kupambana na Corona!!
 
Africa na wanaoongoza ni vilaza sana aisee asa tunapambanaje wakati mbabe wa vita na sayansi ananyoosha mikono na kufunga mipaka daah dear Africa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuzuia ni bora kuliko kutibu, mimi naona ingekuwa heri mipaka ifungwe kuliko kupambana na Corona, maana maambukizi yakiwa makubwa wananchi mamilion watakaoambukizwa watakuwa quarantined wapi na watahudumiwa vipi. May Our God avoid us from this disease.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi zilizoendelea zinafunga mipaka yake eg USA ili kupunguza ama kuzuia maambukizi ya virusi vya korona but Nchi za Kiafrika ambazo ni masikini zinasema zime jipanga kupambana na Corona.
Aliyetuloga waafrika Mungu ana muona
Na wanasema tunawe na sanitizer...Kaz imeisha....milundikano,misongamano,mashule,daladala..n.k hawaon Kama messure ...na kuboresha security na checking mipakan
IMG-20200313-WA0020.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Twapaswa tumwombe Mungu sana na kama akiruhusu tuangamizwe na maradhi haya basi tuangamizwe tukiwa tayari tumeshajikabidhi mikononi mwake. Ee Baba utusaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom