Corona: Wakenya walijifungia wakati maambukizi ni chini ya 100, sasa wanafungua maambukizi yakikaribia 10,000, hizi ni akili au matope?

Wewe ni akili hauna. Hajui kwanini tulifunga na kwanini tukafungua. Hebu niambie ni kipi Uhuru kaiga kwa Maghufuli?.. Hakuna kitu hata moja tunaweza iga kutoka huko!.
Kipindi hiki ambacho maambukizi ni makubwa na yanaongezeka kwa kasi mlipaswa kuongeza "restrictions" sio kuanza kulegeza vikwazo, kitendo cha kulegeza vikwazo wakati kasi ya maambukizi ni kubwa ni kumuiga Magufuli ambayo tangu mwanzo alisema kwamba ni lazima kujifunza kuishi na Corona kama tunavyoishi na UKIMWI, ninyi kwa ujinga wenu mkaanza kuweka ,"cessation " of movements Nairobi na Mombasa. Hovyo kabisa ninyi.
 
Wapi kwingine lock down imesaidia?
Lockdown inasaidia sana kupunguza na kuondoa maambukizi ya magonjwa yanayoambukizwa kupitia hewa. Hilo tusibishe.
Ila lockdown ya Kenya was bugus. Unaanza 7pm? Ni bora tu uachie.

That was not a lockdown, that was a jokedown.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Kipindi hiki ambacho maambukizi ni makubwa na yanaongezeka kwa kasi mlipaswa kuongeza "restrictions" sio kuanza kulegeza vikwazo, kitendo cha kulegeza vikwazo wakati kasi ya maambukizi ni kubwa ni kumuiga Magufuli ambayo tangu mwanzo alisema kwamba ni lazima kujifunza kuishi na Corona kama tunavyoishi na UKIMWI, ninyi kwa ujinga wenu mkaanza kuweka ,"cessation " of movements Nairobi na Mombasa. Hovyo kabisa ninyi.
Sisi tunajielewa sana. Wenye akili finyu kama nyie ndio hamuwezi ng'amua chochote. Nani kakwambia cessation ni kwa ajili ya kumaliza maambukizi?. Hii ilikuwa mbinu ya kudhibiti kasi ya hayo hayo maambukizi kama bado tunajipanga. Saa hii tumefungua kwa masharti fulani baada ya kugundua tushaa jipanga. Halafu hatujafungua shule, kanisa ni kwa masharti, curfew bado etc. Sasa tumemuiga nini Maghufuli?.. hakunaa kabisaa!
 
Ahsante sana mdanganyika, huku tushajipanga ndio maana tumelegeza lakini kwa masharti fulani!.

Juhudi zimezaa matunda. Kafyuuu imepeleka korona chini kabisa. Endeleeni kujishoka sasa maana kujipanga kumewaingiza choo cha kike. Hongereni sana.
 
Juhudi zimezaa matunda kafyuuu imepeleka korona chini kabisa. Endeleeni kujishoka sasa maana kujipanga kumewaingiza choo cha kike. Hongereni sana.
Uko na haki ya maoni yako. Sisi tunamshukuru rais wetu kwa juhudi zake. Endeleeni kujumuika kwa choo cha kiume!🤣🤣
 
Hahahaha, hamna akili lazima mtaiga Tanzania, sisi hatutegemei wazungu. Tulitegemea muongoze total lockdown kutokana na idadid kubwa ya maambukizi kwa sasa, vipi mnaanza kufanya "Partial opening" wakati maambukizi sasa hivi ni makubwa kuliko kipindi mlichoweka hizi "restrictions". Hamna akili wapumbavu wakubwa ninyi, kila kitu lazima msikilize Mzungu, pumbavu.
Ulitamani sana kenya kuwekwe total lockdown ili useme tumewaiga wazungu
Mbinu zetu tunazotumia afrika mashariki pekeyetu
 
Kipindi hiki ambacho maambukizi ni makubwa na yanaongezeka kwa kasi mlipaswa kuongeza "restrictions" sio kuanza kulegeza vikwazo, kitendo cha kulegeza vikwazo wakati kasi ya maambukizi ni kubwa ni kumuiga Magufuli ambayo tangu mwanzo alisema kwamba ni lazima kujifunza kuishi na Corona kama tunavyoishi na UKIMWI, ninyi kwa ujinga wenu mkaanza kuweka ,"cessation " of movements Nairobi na Mombasa. Hovyo kabisa ninyi.
Kasi ya maambukizi hko kwenu mliijua ule wakati wa mapapai sio.
 
Uko na haki ya maoni yako. Sisi tunamshukuru rais wetu kwa juhudi zake. Endeleeni kujumuika kwa choo cha kiume!🤣🤣

Mimi nawapongeza tu, sijatoa maoni yangu. Juhudi za raisi wenyu zimeonekana kafyuu imepunguza na kuondoa korona kabisa. Sasa ni wakati wa kufungua nchi na uchumi.
 
Mimi nawapongeza tu. sijatoa maoni yangu. Juhudi za raisi wenyu zimeonekana kafyuu imepunguza na kuondoa korona kabisa. Sasa ni wakati wa kufungua nchi na uchumi.

Pongezi ni maoni pia. Ila hukuelewa maana ya uhusiano wa curfew na korona, sisi wenyewe tumejua faida yake zaidi ya uelewa wako, tuko sawa!
 
Sisi tunajielewa sana. Wenye akili finyu kama nyie ndio hamuwezi ng'amua chochote. Nani kakwambia cessation ni kwa ajili ya kumaliza maambukizi?. Hii ilikuwa mbinu ya kudhibiti kasi ya hayo hayo maambukizi kama bado tunajipanga. Saa hii tumefungua kwa masharti fulani baada ya kugundua tushaa jipanga. Halafu hatujafungua shule, kanisa ni kwa masharti, curfew bado etc. Sasa tumemuiga nini Maghufuli? Hakunaa kabisaa!
Aibu imewakuta kutakana na akili zenu finyu, tukuwaambia ninyi hamna akili mnadhani tunawachukia, soma wakenya wenzako wanavyosema, jinga kabisa wewe.

Magufuli Receives Praises After President Uhuru's Address
 
Back
Top Bottom