Corona si tishio kwa Afrika

Ni vzr kuchukuq tahadhari kabla ya madhara makubwa hayajayokea, Spain na Italy walileta mizaa matokeo ndo kama unavyoona sasa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama China hali ilikuwa mbaya tangu October kwanini haukusambaa kwa kasi duniani kote wakati kulikuwa hakuna kizuizi chochote cha kusafiri?

Mbona na we ulokuwa China na haukupata virusi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali za Afrika zinauwa watu wake kuliko Corona. Tunatakiwa kupambana na serikali za hovyo kuliko Corona. Tangu awamu ya tano imeingia kwenye madaraka, wengi wanepitea kuliko Corona ilivyoingia Afrika

Sent using Jamii Forums mobile app

There's a virus that has the whole world's attention because it's a threat to all but there's been a Poverty,Educational,Healthcare,Parenting,Joblessness, Crime & RACIAL virus that's been Killing our communities 4ever. Let's focus on this 1 with the same Solvency please.
 
Kwanini Italy watu wanakufa kuliko nchi zingine?

Sent using Jamii Forums mobile app

Swali lako limejibiwa kwenye video hapo chini Mkuu.

In this special report, we ask some questions that you might not thought of:

Why are Italy and Iran, both thousands of miles away from China, the two most affected countries outside mainland China?

 


Kifo cha kwanza Africa hicho hapo

Source; lemonde.fr
 
Kama hivi dudu haviwezi Kuishi katika mazingira ya joto na jua Kali basi sisi wakazi wa Dar tusiwe na wasiwasi maana hili jua linalowaka Dar kipindi hiki sio la kitoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini husiwe tu muwazi kwamba waafrika siyo binadamu kamili?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona imeingia Tanzania mwaka 2015. Mdudu alikuwepo muda wote lakini mwaka huo ndiyo mazingira ya kuwa active yalitengenezwa.

Wahusika wakuu hawakujua wala kuwa na wazo kuwa corona huyu atakuja kudhuru hata waliomtengenezea mazingira ya kuwa active.

Kama kawaida ya virus wote, hasikii cha antibiotic wala dawa mbadala. Hatabiriki hata kidogo. Anaua kadri anavyojisikia.

Corona huyo huwa na mizunguko ya miaka mitano mitano. Mwaka huu, Watanzania tujitahidi masuala ya masks na sanitizer. Tupambane naye bila kujali rangi za mavazi yetu. Iwe kijani au blue nk.

Tukizembea tena, atakuwa active miaka mingine mitano. Japo anaishi miaka isiyozidi kumi, huyu wa kwetu ana kila dalili ya kutaka kuendelea. Ama kweli ukila nyama ya mtu huwezi kuacha.

Ni mharibifu sana. Si kwa binadamu bali hata mazao yetu. Kaua sana korosho mikoa ya Kusini. Miti imezaa lakini kashambulia mavuno. Wakulima hawajui wamlilie nani.

Katua kwenye korodani, tumwondoe kwa akili.
 
Vice President wa Bunge la Burkina Faso Rose Marie Compaoré amefariki kwa Corona
Pia alikuwa ana kisukari


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…