Kwani John , wewe hutaki?Kwahiyo Chadema ndio mnataka chanjo na katiba?
Kwahiyo Chadema ndio mnataka chanjo na katiba?
Hakuna wakati ambao wajinga, wabishi, wehu, wendawazimu na wanafiki waliwahi kukosekana katika jamii yoyote ile. Hawa wanaokataa mbinu za kukabiliana na corona kwa mbinu za kisayansi, wapo kwenye haya nakundi...
Pia kwao wanakataa uwepo wa wazee.
Naona kuna kuna tofauti ndogo kati ya wale wanaopinga Corona na Katiba Mpya.
Hawa wote wanatoka chama kimoja cha siasa, tatizo lao, wapo wanaopinga hatua dhidi ya Corona ili kulinda "legacy" ambapo hili ni kundi dogo ndani ya lile kundi kubwa linalopinga Katiba Mpya kwa maslahi ya chama chao wote.
Hawa jamaa ikizungumziwa Katiba Mpya wote huipinga, coz wanalindwa na hii Katiba mbovu iliyopo, lakini ikizungumziwa habari ya kujikinga na Corona, wana - divert, kama ni mto unatengeneza tawi, hawa wanalinda legacy hawataki tujikinge, huku wale wengine wanataka tujikinge hawa ndio wale wa "mama"
Nakubaliana nawe vita dhidi ya Corona ni priority, Katiba Mpya ni next, coz Katiba Mpya bila watu haitakuwa na maana.Ninakubaliana nawe:
1. CCM wote wanapinga katiba mpya. Hii ni kwa sababu ya ujinga, unafiki na pia kutokana na kunufaika binafsi na kama kundi kutokana katiba iliyopo.
2. Wanaopinga vita dhidi ya Corona ni CCM wote kuondoa wale walioko kwa Mama. Hawa wa mama ni wachache zaidi kuliko wale wa yule bwana wa legacy.
Wale wa yule jamaa wa legacy sehemu kubwa ni machinga, wapiga debe, vibaka, sungu sungu nk. Pamoja na kuwa na elimu duni, ni brainwashed hawajui wanataka nini au hawataki nini.
Kufanikisha agenda zao za kupinga vita ya Corona na/au katiba mpya wanatumia sababu na mbinu zozote hata kama ni za kijinga au hata kipumbavu tu.
Hawa ni wa ku face head on.
Vita dhidi ya Corona ni priority. Katiba mpya ni next.
Nakubaliana nawe vita dhidi ya Corona ni priority, Katiba Mpya ni next, coz Katiba Mpya bila watu haitakuwa na maana.
Hivyi ni nchi gani imepona Sasa baada ya kutumia njia za kitaalamu mnazotolea mapovu?
Mnajua maambukizi ya UK ya Jana pamoja na kuchanjwa? Au kubwabwaja tu.
Kama wakati ule wa uchaguzi 2020 priority ilikuwa ni Lissu kuingia Ikulu bila kujali kuhatarisha uhai wetu basi nadhani hata sasa inawezekana pia priority ikawa ni katiba kwanza kisha inafuata corona. Nadhani Katiba ikipatikana kila kitu kitakaa sawa maana matumaini yetu yote na shida zetu zote suluhisho ni katiba mpya.Vita vya katiba mpya tutashinda. Lakini inabidi tuwe hai. Kuyaweka maisha yetu hatarini haiwezi kuwa option hata kidogo.
Kumbe hao jamaa wanafanana!.1. Wewe hutaki vita dhidi ya Corona
2. Pia hutaki katiba mpya.
#1 na #2 zinakufanya wewe kuwa chawa wa yule bwana na kwenye red yanakuhusu:
View attachment 1850006
Bila shaka una ID ya KIMKAKATI pia:
View attachment 1850010
Kawaambieni wanaowatuma tunawajua kwa tabia zenu wala hamtupi taabu.