Corona Afrika!

Mpk ijute kwa nn ilikuja africa hapo haijakutana na mwarobaini +shubiri
 
Yaani hio korona inatuangalia tu Waafrika halafu inasema hiiiiiiiiiiiiii
Maana inashangaa jinsi tunavyoishobokea wakati yenyewe haina hata mpango na sisi.


Maendeleo hayana chama
 
Dah sijui Korona anajisikiaje kudharaulika kiasi hiki, bila shaka kamuachia Mungu tu.


Ukisimama nchale ukiinuka nchale
 
Mtoa mada huyo bibie aliejiziba leso,,namna gani vipi?
 
nimemwona mdogo wake kafuku hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…