Copying Software

Ndekirhepva

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2012
Posts
371
Reaction score
44
Wataalam wangu kwema?
habarini za jumapili????
naombeni msaada kama kuna mwenye link au ufahamu wa software/application ya kusaidia ku copy files kwa haraka, ninatumia super copy ila naona kama inasumbua, mwenye alternative pls...
 
taratiiiiiiiiiibu nimejipakulia tayari, kimya kingi ujue kuna namna, yaani ukiona manyoya ujue keshaliwa.....
appreciations wadau
 
Naikubali sana teracopy hass wakati huu wa terabyte HDD capacity.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…