Headache mkuu, but nadhan kulia Albeloa, kushoto Marcello, ktkt Albiol na Cavalho
Imetulia pia ila hao wa kati kati Albiol na Cavalho waambie wawe makin si unamjua Messi.
When African/Tanzanian minds use borrowed minds, nothing good is in Africa rather than Europe....
Barca nao kama marefaunited, ile faulo ya Pique angefanya beki wa Madrid ilikua red card, doh!