Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,235
Wewe unataka uheshimike na watu hata kwa masuala yako ya kiroho? Umemwajiri, unamlipa kupitia kodi zako? Alikuambia yeye ana hisa ngapi katika kazi ya Uponyaji anayoifanya Mungu? Kwa nini unataka kuanzisha ugomvi na mtu ambaye hana msaada wala sehemu ya ufumbuzi wa matatizo yako ya kiroho? Wewe kama unamhitaji Mungu mtafute Mungu na achana na mambo ya watu hayakusaidii.
Yaani watu mnataka mnyenyekewe hata kwenye masuala ya kiroho? Embu tubu umuombee acha kulalama kama mjane alozulumiwa urithi wa mumewe
Yaani watu mnataka mnyenyekewe hata kwenye masuala ya kiroho? Embu tubu umuombee acha kulalama kama mjane alozulumiwa urithi wa mumewe
You are talking nonsense coz you dont know God and you think you can use your foolishness to define Spiritual things. Poor guy, do you think God is gonna rely on your stupid politics? Do you think He needs your votes to decide on peoples destinies? You need to know God first before thinking of your spiritual levels! If you have ever heard anything about God, you dont have to be reminded that in heavenly realms there is neither racism nor professionalism!. Now keep on displaying your ignorance here! shame on you alone!Umeongea ukweli wako na ndio mwisho wa akili zako kufikiria (etc).No wonder you are a great thinker!This explains why Tourist Hotels in Tanzania are employing managers from Kenya, while we have thousand of the so called "managers".Wanaepuka kuchujua watu wenye mentality kama yako.Shame on us Tanzanians
Kama unaona hapo hapana huduma nzuri, nenda kwingine unakoona kuna kufaa!. Hakuna sheria inayosimamia imani kwamba lazima uende kwenye sehemu yenye customer care mbaya!. Kama unadhani kwamba poor customer care ya huyo karani sijui nani inazuia Mungu asikutendee unachohitaji then nenda kwnye makanisa yenye ustaarabu ambako Mungu anamwaga nguvu kulingana na ukarimu wa watu.This leaves a lot to be desired!Mtu anadai huduma nzuri tu!Na hajaja kama ombaomba!Eehhh sijui tuna nini watanzania!
You are talking nonsense coz you dont know God and you think you can use your foolishness to define Spiritual things. Poor guy, do you think God is gonna rely on your stupid politics? Do you think He needs your votes to decide on peoples destinies? You need to know God first before thinking of your spiritual levels! If you have ever heard anything about God, you dont have to be reminded that in heavenly realms there is neither racism nor professionalism!. Now keep on displaying your ignorance here! shame on you alone!
Kama unaona hapo hapana huduma nzuri, nenda kwingine unakoona kuna kufaa!. Hakuna sheria inayosimamia imani kwamba lazima uende kwenye sehemu yenye customer care mbaya!. Kama unadhani kwamba poor customer care ya huyo karani sijui nani inazuia Mungu asikutendee unachohitaji then nenda kwnye makanisa yenye ustaarabu ambako Mungu anamwaga nguvu kulingana na ukarimu wa watu.
Kama unaona hapo hapana huduma nzuri, nenda kwingine unakoona kuna kufaa!. Hakuna sheria inayosimamia imani kwamba lazima uende kwenye sehemu yenye customer care mbaya!. Kama unadhani kwamba poor customer care ya huyo karani sijui nani inazuia Mungu asikutendee unachohitaji then nenda kwnye makanisa yenye ustaarabu ambako Mungu anamwaga nguvu kulingana na ukarimu wa watu.
Dear Martha,
Mimi sijaomba kuwa coordinator wa SCOAN Tanzania.
Ila ni ngumu kwenda SCOAN bila kupitia kwenye OFISI YAKO YA BENJAMIN MKPA ULIYOJAA UKILITIMBA.
TB Joshua haihitaji kusujudiwa kama wewe!
Nilkichoomba hapa ni ku-imorove customer care.
Is this too much for you?
.....ukiritimba ndio unao ifanya hiyo SCOAN ijae !
Ghana watu wamekufa kwa kugombea 'maji ya uzima' ya SCOAN !