Cool Picture

Aaah jamani angemkojolesha hata kwenye chupa sasa hapo akianguka na pengine train ipo speed!
 
Mkuu Ndallo ... so ... what's so cool about this picture?!

... mtoto kukaa uchi au kuwekwa kwenye hatari ya maisha yake ... kumbuka kuwa treni inatembea ... je akiteleza na kuanguka?!

Kwa hiyo wazazi ambao hawapo responsible kulinda maisha ya watoto wao ndio cool?!! ...

:angry:
.
 
Hiyo train ilikuwa haitembei,kama ingekuwa inatembea mkoja usingekuwa umenyooka chini.
 
Hiyo train ilikuwa haitembei,kama ingekuwa inatembea mkoja usingekuwa umenyooka chini.

pia mpiga picha asingeweza kutoa picha clear....mambo ya dopler effect
 
dogo kajiachia nadhani kuna vingine alikua anavitoa visivyoonekana bali vinanusika tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…