C CAG wa buza Member Joined Apr 2, 2023 Posts 13 Reaction score 32 Apr 10, 2023 #1 Ukikutana na mwanamke"stranger" kwenye bus or wherever halaf ukawa unatamani kupata namba yake lakini unashindwa namna ya kuanza mazungumzo, wewe mwambie tu "YOU SMELL GOOD" akijibu thanks endelea "I WISH I COULD BE THE REASON FOR" Then continues
Ukikutana na mwanamke"stranger" kwenye bus or wherever halaf ukawa unatamani kupata namba yake lakini unashindwa namna ya kuanza mazungumzo, wewe mwambie tu "YOU SMELL GOOD" akijibu thanks endelea "I WISH I COULD BE THE REASON FOR" Then continues
Bachelor ll JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 4,103 Reaction score 6,700 Apr 10, 2023 #2 Sawa
National Anthem JF-Expert Member Joined Aug 9, 2022 Posts 19,173 Reaction score 56,212 Apr 10, 2023 #3 π π π
Gucci gang JF-Expert Member Joined Jan 7, 2018 Posts 2,718 Reaction score 5,350 Apr 10, 2023 #4 Humu tujaze tu idea nyingine maana unaonekana ni uwanja wa mazoezi ya threadπππππ
Da Vinci XV JF-Expert Member Joined Dec 7, 2019 Posts 3,871 Reaction score 6,477 Apr 10, 2023 #5 Movie za kikorea
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 11,644 Reaction score 14,809 Apr 10, 2023 #6 Unaanza mbali mkuu wakati ni simple tu gari ikisimama we una nunua chips yai na paja na juice hapo umemaliza kazi
Unaanza mbali mkuu wakati ni simple tu gari ikisimama we una nunua chips yai na paja na juice hapo umemaliza kazi
C CAG wa buza Member Joined Apr 2, 2023 Posts 13 Reaction score 32 Apr 10, 2023 Thread starter #7 pwilo said: Unaanza mbali mkuu wakati ni simple tu gari ikisimama we una nunua chips yai na paja na juice hapo umemaliza kazi Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
pwilo said: Unaanza mbali mkuu wakati ni simple tu gari ikisimama we una nunua chips yai na paja na juice hapo umemaliza kazi Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,387 Reaction score 196,111 Apr 10, 2023 #8 Hayanaga muongozo...
soul provider JF-Expert Member Joined Jun 21, 2014 Posts 1,353 Reaction score 2,186 Apr 10, 2023 #9 Vipo vingi vya kuanzia inategemea upo mazingira gani na mhusika yupo kwenye mood gani