thomaskitomari
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 472
- 204
Mmmh aiseeSalaam wakuu,
Naombeni kuuliza hiv kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo nikimaanisha mwaka wa 2 na 3 majina yao ya mkopo huwa yanatoka kwa batch pia?? Yan kwamba unaweza kuwa continuos student lkn jina lako lisije kwenye batch ya kwanza likaja kwenye batch zinazofuata
Naombeni kujulishwa
ContinuingSalaam wakuu,

hapo nimekuelewa maana nilifanyaga transfer so wakawa wanaleta jina la boom tofauti na mengineKama ume disco Jina haliji...... Au kama ulifanya supp exams na chuo chako kikachelewa kupeleka matokeo yako loan board basi usubili matokeo yakifika Jina lako litakuja
Asante kwa marekebisho mkuuContinuing
usijali tunajifunza humu JF, it is Ok dear!Asante kwa marekebisho mkuu
Salaam wakuu,
Naombeni kuuliza hiv kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo nikimaanisha mwaka wa 2 na 3 majina yao ya mkopo huwa yanatoka kwa batch pia?? Yan kwamba unaweza kuwa continuos student lkn jina lako lisije kwenye batch ya kwanza likaja kwenye batch zinazofuata
Naombeni kujulishwa
wadau vipi huko , mmepata?