Continous students walioomba mkopo

Continous students walioomba mkopo

Habari zenu,nilikua nauliza Kama kuna continous students waliokuwa wameomba mkopo mwaka huu na wamefanikiwa kupata katika batch ya kwanza?
Mkuu ni Continuing Students.

Hayo mengine watakujibu wenye uelewa nao.
 
Wakuu hv kwa aliopangiwa mkopo last yia ila continuous vp asilimia zinaweza kuchange
ulichopewa ndio hicho hicho mpaka unamaliza chuo , labda kama unataka ku appeal uongezewe mkopo..
 
Back
Top Bottom