TAARIFA MUHIMU KWA CONTINOUS STUDENTS.
Kwa wale wote continous students ambao mliapply mkopo wa elimu ya juu mara ya pili mnaombwa kwenda kuhakikisha kwamba taarifa zako kama zimefika board ya mikopo ya elimu ya juu kwa sababu maloan officer wengi wa vyuon huwa hawapeleki taarifa zenu ili muweze kupata mkopo.Hadi sasa hazina ipo kubwa ili kuwawezesha wanafunzi wa elimu ya juu kupata mkopo. Hadi sasa wanafunzi wa mwaka wa kwanza imefikia kiwango kikubwa kupata mkopo yaan wengi wamepata..Sasa mda huu umebaki wa continous students waliokosa miaka ya nyuma nao kunufaika na mikopo sasa basi nenda heslb ukahakiki kama loan officers walipeleka taarifa zako au hapana.. hii muhimu sana kwa sababu inaonyesha wazi kuwa wanafunzi wanaoendelea huwa hawapati mikopo kutokana na maloan officer wa vyuo husika kuhitaji rushwa na hili tatizo litafanyiwa kazi mara moja na bodi husika kuwafuta kazi wale wote wanaowanyima watu haki ya kupata mikopo