Continental wameshusha bei ya kingamuzi mpaka 26000?

Continental wameshusha bei ya kingamuzi mpaka 26000?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,126
Reaction score
24,424
Hawa continental eti jamani wameshusha bei ya kingamuzi mpaka 26000?
Na mwenye kujua bei ya vifurushi vya antenna pls
 
Oohhh ngoja na mm nijongeee nikakinunue kadekoda kao kwan nilisubir washushe kwanza
 
Back
Top Bottom