Content Creators chipukizi mbioni kuruhusiwa kutengeneza maudhui mtandaoni kwa mwaka mmoja bila ada

Content Creators chipukizi mbioni kuruhusiwa kutengeneza maudhui mtandaoni kwa mwaka mmoja bila ada

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Wakuu,

Akizungumza hivi karibuni kwenye kwenye mkutano Mkuu wa Mwaka wa Vyombo vya Utangazaji (ABC) Meneja wa Huduma za Utangazaji (TCRA), Mhandisi Andrew Kisaka amesema kuwa wamependekeza mfumo mpya ambao watengeneza maudhui mtandaoni wataweza kufanya shughuli zao mtandaoni bila kulipa ada yoyote kwa mwaka mmoja.

"Tumependekeza kuanzisha kitu kinachotiwa AMATEUR. Huyu anaweza kuingia online mwaka mzima bila kulipa chochote, ajifunze biashara ile mtandaoni ikoje inaendaje. Kwa hiyo hawa tutawaita amateur"
 
Back
Top Bottom