suala la matumizi ya mafuta linasababishwa na mambo yafuatayo.
- mzigo ambao gari umebeba.
- upepo katika tairi, upepo mdogo tairi inapelekea kufanya resistance na barabara hence gari inakunywa mafuta.
- upepo kupitia windows: unapotembea ktk speed fulani madirisha wazi upepo unafanya resistance na kuifanya gari kujilazimisha kusonga mbele. mafuta hayo mzee.
- the use of ac.
- high speed driving: mwendo zaidi ya speed 80/h si tu unahatarisha usalama wako bali unaongeza matumizi ya mafuta.
- vijibwa. unapoondoa gari kwa kasi inapelekea kulazimisha msukumo wa mafuta katika njia zake na kutanua baadhi ya viungo. baada ya muda gari inaona huo ndio utaratibu wake.