Heinz Consulting
Member
- Jun 21, 2021
- 10
- 14
Consulting Associates Wanahitajika.
Napenda hizo kazi ila mnaruhusu niwe nafanya remotely Heinz Consulting
Maana mimi nna kazi rasmi tayari ila nipo vizuri sana kwenye business plans writing, financial modelling, na market research.Inawezekana kufanyia kazi remotely. Asilimia kubwa ya kazi zitakuwa remotely, ila baadhi ya kazi (na kama kuna ulazima) zitakuwa zikifanyika ofisini au kwa client's office.
Karibu.
Sawa, nimekuelewa vizuri. Naomba u-share nami contacts zako na taarifa fupi kuhusu wasifu wako.Maana mimi nna kazi rasmi tayari ila nipo vizuri sana kwenye business plans writing, financial modelling, na market research.
Kwahiyo nataka just kupanua wigo wa kipato nje ya kazi.
Unaweza kuniweka kwenye pipeline, endapo ukiwa na kazi kwenye hayo maeneo niliyoainisha hapo.
Powa mkuu ntakutumia DM keshoSawa, nimekuelewa vizuri. Naomba u-share nami contacts zako na taarifa fupi kuhusu wasifu wako.
Ahsante.