Consultantants /expert taking 50% of the cake

Consultantants /expert taking 50% of the cake

nikwaneema

Member
Joined
Aug 14, 2014
Posts
6
Reaction score
1
Habari,

Nina swali naomba mnisaidie, je Expert kwenye maeneo ya kazi ni kina nani?

Sheria inasemaje kuhusu expert /foreigners?

Nafasi ya watanzania au ulinzi wa ajira za watanzania ukoje?

Nikipata jibu naiweka wazi kampuni sitaki kukurupuka.
 
Utaziweza hizo fujo?maana hao ma "expert" ni wengi hapa nchini ,mfano zenji hasa katika industy ya utalii tuna ma"expert' wa kila aina mpaka wa kutembeza wageni kwenye chochoro zetu za stone town!
 
Back
Top Bottom