Safi sana..
sasa ningelitaka washugulikie ile story ya commuter na tram ndio tuwazike kibsa hawa mafala wa bongo.
Fala bibi yako kenge wewe,kwani unaturisha? Fanyeni mambo yenu kwa ajili yenu hamtakaa mtuzike safari bado ni ndefu boom time kwetu bado lakini nyie wakenya kamwe hamtakuja kufika growth rate ya 8% kwenye uchumi,alafu malizeni project zenu kubwa zote sie hata robo bado so tuta boom sana siku za usoni,eg kwenye umeme na barabara tu access ni less than 25% wakati nyie coverage ni zaidi ya 50% huoni kwamba tutaboom na kuwapita japo itatuchukua miongo 2 hadi 3Safi sana..
sasa ningelitaka washugulikie ile story ya commuter na tram ndio tuwazike kibsa hawa mafala wa bongo.
hapa umedanganya wakati wakibaki tulifika hiyo 8%Fala bibi yako kenge wewe,kwani unaturisha? Fanyeni mambo yenu kwa ajili yenu hamtakaa mtuzike safari bado ni ndefu boom time kwetu bado lakini nyie wakenya kamwe hamtakuja kufika growth rate ya 8% kwenye uchumi,alafu malizeni project zenu kubwa zote sie hata robo bado so tuta boom sana siku za usoni,eg kwenye umeme na barabara tu access ni less than 25% wakati nyie coverage ni zaidi ya 50% huoni kwamba tutaboom na kuwapita japo itatuchukua miongo 2 hadi 3
Msongamano kwenye miji mikubwa haitatuliwi kwa kuongeza barabara hata siku 1.hilo ni jawabu la kitambo kidogo tu then mtaona tatizo limerudi tena.
Suluhu yake hapo ni usafirishaji unaobeba watu wengi kwa mara moja kama treni au walivofanya kaka zenu kusini mwa mpaka.
Sio barabara kumbe??Jifunze nini maana ya bypass. Halafu hilo la treni za mjini lipo na linafanyiwa kazi.
itasaidia magari yenye yanapita nai kwa juu bila kuingia katikati ya mji.....kama huna shughuli mjini uingie ukifanya nni?southern bypass for instance imeondoa hii mi trailer mjiniSio barabara kumbe??
Sio barabara kumbe??
Please remind me.... Does Tz have a superhighway???Mbona bypass hata tanzania zipo na nyingi ziko mbioni kujengwa eg pale nzega,usagara-kisesa mwanza na zilizombioni ni uyole-mbalizi/songwe bypass na inayojengwa ni Arusha bypass,kwa Dar wanajenga ring roads,flyovers/interchanpe na expressway toll road(dar-chalinze 100km) 6 lanes 50km and 4 lanes 50km na DART Phase II&III,so wakenya punguzeni kelele hakuna jpya mnafanya huku halipo
usianzishe hii ligi kaka hutaiwezaMbona bypass hata tanzania zipo na nyingi ziko mbioni kujengwa eg pale nzega,usagara-kisesa mwanza na zilizombioni ni uyole-mbalizi/songwe bypass na inayojengwa ni Arusha bypass,kwa Dar wanajenga ring roads,flyovers/interchanpe na expressway toll road(dar-chalinze 100km) 6 lanes 50km and 4 lanes 50km na DART Phase II&III,so wakenya punguzeni kelele hakuna jpya mnafanya huku halipo
Mbona bypass hata tanzania zipo na nyingi ziko mbioni kujengwa eg pale nzega,usagara-kisesa mwanza na zilizombioni ni uyole-mbalizi/songwe bypass na inayojengwa ni Arusha bypass,kwa Dar wanajenga ring roads,flyovers/interchanpe na expressway toll road(dar-chalinze 100km) 6 lanes 50km and 4 lanes 50km na DART Phase II&III,so wakenya punguzeni kelele hakuna jpya mnafanya huku halipo
Mbona bypass hata tanzania zipo na nyingi ziko mbioni kujengwa eg pale nzega,usagara-kisesa mwanza na zilizombioni ni uyole-mbalizi/songwe bypass na inayojengwa ni Arusha bypass,kwa Dar wanajenga ring roads,flyovers/interchanpe na expressway toll road(dar-chalinze 100km) 6 lanes 50km and 4 lanes 50km na DART Phase II&III,so wakenya punguzeni kelele hakuna jpya mnafanya huku halipo
Nyie wakenya mnaumwa ugonjwa wa kupoteza mbukumbuku,mambo yetu hatupangi kushindana na Kenya,kwani daraja la kigamboni tumeiga kwenu? Kwani DART tumeiga kwenu? Nyie ndio mkifanya kaproject mnatuponda,endeleeni kuhangaika na kupiga kelele mkimaliza mtatukuta tumekamilisha reli kati ya mtwara-mbamba Bay to Liganga/mchuchuma
Hilo mojawapo, sio suluhu kamili. Suluhu yake inaangazia vitu vingi, na usijidanganye, nimefika Dar na msongamano wenu pia ni noma, unahitaji integrated approach na sio kujisifia DART tu.Msongamano kwenye miji mikubwa haitatuliwi kwa kuongeza barabara hata siku 1.hilo ni jawabu la kitambo kidogo tu then mtaona tatizo limerudi tena.
Suluhu yake hapo ni usafirishaji unaobeba watu wengi kwa mara moja kama treni au walivofanya kaka zenu kusini mwa mpaka.