Boveta
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,257
- 3,927
Ahahah,Haha.!
Najua umenielewa mdogo wangu, Ila ni lini utaacha ukorofi??
Sijaelewa kabisaa...
Ahahah,Haha.!
Najua umenielewa mdogo wangu, Ila ni lini utaacha ukorofi??
Hili swala mtu mmoja kumpenda mtu mwingine nimejila Ila nimeshindwaHuwezi shindana na Mwanamke na ukashinda kwenye mahusiano, maadamu Mwanaume ndiye anayemfwata Mwanamke na Mwanamke kazi yake ni kukubali au kukukataa siku zote atakuwa hatua mbili mbele yako labda kama haujampenda.
Mahusiano na Mwanamke hayana ujanja kama kweli umempenda, ni swala la bahati tu kwamba na yeye awe amekuona hivyo na aamue kuplay fair, vinginevyo utaumia sana.
Haya ni mawazo ya wanaume WASIOKUWA NA HEhurwLA
MmmhChama cha wanaochukia wanawake kimeongezeka na kinatafuta wafuasi...😢😢😢
Ni mara ngapi umenicheat..?Mimi nimeguswa hasa na No.3, wale wanaume wa hapo No.3 sijui kama mnalifahamu hilo kwakweli, mnachapiwa sana walaqhi'..!!
Nakazia, kuweni makini na No.3.!!