Consider her as a bitch until proven otherwise!

Deva

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2018
Posts
1,238
Reaction score
1,819
Salaam.

1.Umekutana na mdada fulani tu moyo wako umemdondokea, kaa jinsi alivyo na muonekano wa kipole, jinsi alivyo mnyenyekevu, anavyokuheshimu nk.

2.Ukipiga hukuti simu yake iko busy, message anajibu kwa muda.

3.Hakuombi ombi hela japo anapendeza, na wewe unamsifia "Umependeza" bila kujua hela ya kusuka na nguo katoa wapi akavaa hadi akakuvutia wewe ukamuona, na unajua kabisa hukumuona wewe peke yako jinsi anavyovutia.

4.Hujui historia yake vizuri, umekutana nae leo kesho unataka mahusiano...namba yake kakupa barabarani or kwenye gari unajua kawapa wangapi, kama kakupa wewe kwanini wengine awanyime?

5.Na mengine mengi members mtaongezea

Una kila sababu ya kulizwa kama unayafanya hayo juu.

Wanaume tupunguze kuwaamini kina dada haraka haraka, hakikisha unawekeza sehemu sahihi kwanza.

Cha kufanya

1.Hakuna kutoa huduma yoyote kubwa, ambayo itakuathiri uchumi wako.

2.Usijibane kwa ajili ya mwanamke, unakopa unamrushia kumbe anaenda kuongezea anunue iphone 11 pro.

3.Hakuna kuamini kama hana mahusiano mengine zaidi yako.

4.Mengine mtaongezea.

Atleast tutapunguza nyuzi za vilio.

Devion
 
Huwezi shindana na Mwanamke na ukashinda kwenye mahusiano, maadamu Mwanaume ndiye anayemfwata Mwanamke na Mwanamke kazi yake ni kukubali au kukukataa siku zote atakuwa hatua mbili mbele yako labda kama haujampenda.
Mahusiano na Mwanamke hayana ujanja kama kweli umempenda, ni swala la bahati tu kwamba na yeye awe amekuona hivyo na aamue kuplay fair, vinginevyo utaumia sana.
 
Haya ni mawazo ya wanaume WASIOKUWA NA HELA
Sawa.
Lakini kitu umesahau hata wenye pesa pia humaintain pesa isitumike hovyo hovyo, na kupunguza mwanya wa matumizi
 
Mimi nimeguswa hasa na No.3, wale wanaume wa hapo No.3 sijui kama mnalifahamu hilo kwakweli, mnachapiwa sana walaqhi'..!!

Nakazia, kuweni makini na No.3.!!
 
Haya ni mawazo ya wanaume WASIOKUWA NA HELA
Hahahaha. Ila Mungu anawaona mjue. Niliwahi kutoa hela tena ya mkopo ili akatibiwe. Kesho yake kwa mara ya kwanza nikapigiwa whatsapp video call wakati najua simu yake camera ya mbele mbovu. Nikachezwa na machale nikamuambia anitumie screenshot na yeye bila kujua akanitumia. Nikachunguza nikagundua anatumia Iphone. Baada ya wiki moja akaniambia sweet nimepokea hela ya mchezo naenda kununua iphone.
Nikamuuliza mbona unayo tangu siku nikupe hela akakataa kabisa.

Nikamkaushia maana nilimuona bado nina nafasi ya kumrekebisha kimya kimya ingawa sasa hivi nimempiga chini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo hukumrekebisha mkuu
 
1:Mdogo wangu umeandika upuuzi hasa heading.as if umekosa ya kitumia?
2: Main body umeandika utoto kasoro no 3.
3:Hope wanaume watasoma no 3 tho wengine tuna uwezo wa kuimudu bila kutegemea mtu.kutokana na hicho kidogo tunachopata

Nb.. Hakuna mwanamke asiependa apate mtu wa kumjali walau hata vizawadi vidogo.
 
Sawa

Mtazamo wako.
 
Huwezi shindana na Mwanamke na ukashinda kwenye mahusiano, maadamu Mwanaume ndiye anayemfwata Mwanamke na Mwanamke kazi yake ni kukubali au kukukataa siku zote atakuwa hatua mbili mbele yako labda kama haujampenda.
Mahusiano na Mwanamke hayana ujanja kama kweli umempenda, ni swala la bahati tu kwamba na yeye awe amekuona hivyo na aamue kuplay fair, vinginevyo utaumia sana.
100℅
 
Salaam.

1.Umekutana na mdada fulani tu moyo wako umemdondokea, kaa jinsi alivyo na muonekano wa kipole, jinsi alivyo mnyenyekevu, anavyokuheshimu nk.

2.Ukipiga hukuti simu yake iko busy, message anajibu kwa muda.

3.Hakuombi ombi hela japo anapendeza, na wewe unamsifia "Umependeza" bila kujua hela ya kusuka na nguo katoa wapi akavaa hadi akakuvutia wewe ukamuona, na unajua kabisa hukumuona wewe peke yako jinsi anavyovutia.

4.Hujui historia yake vizuri, umekutana nae leo kesho unataka mahusiano...namba yake kakupa barabarani or kwenye gari unajua kawapa wangapi, kama kakupa wewe kwanini wengine awanyime?

5.Na mengine mengi members mtaongezea

Una kila sababu ya kulizwa kama unayafanya hayo juu.

Wanaume tupunguze kuwaamini kina dada haraka haraka, hakikisha unawekeza sehemu sahihi kwanza.

Cha kufanya

1.Hakuna kutoa huduma yoyote kubwa, ambayo itakuathiri uchumi wako.

2.Usijibane kwa ajili ya mwanamke, unakopa unamrushia kumbe anaenda kuongezea anunue iphone 11 pro.

3.Hakuna kuamini kama hana mahusiano mengine zaidi yako.

4.Mengine mtaongezea.

Atleast tutapunguza nyuzi za vilio.

Devion
Chakufanya
1 - 4 zizingatiwe

Usimuamini zaidi ya 20%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ninani?? Mpaka nijiaminishe niko pekeangu, kwa MWANAMKE mrembo niliyekutana naye TU bahat mbaya??????

Kwa mantiki iyo.... Mimi Carlos , ni mgumu mno wakuonga nakupoteza Pesa yangu kizembezembe !!!
 
Chama cha wanaochukia wanawake kimeongezeka na kinatafuta wafuasi...😢😢😢
 
Mimi nimeguswa hasa na No.3, wale wanaume wa hapo No.3 sijui kama mnalifahamu hilo kwakweli, mnachapiwa sana walaqhi'..!!

Nakazia, kuweni makini na No.3.!!
Dogo,
Andika kiyunani...sijakuelewa.
Ujue namba 3 zipo mbili.
 
Back
Top Bottom