Connects dots hapa

Huyo c mwana chadema.
soma hii post kwenye red.

  • quote_icon.png
    By Salary Slip
    Napenda kuwashauri CHADEMA watekeleze mambo matatu yafuatayo ili kuondoa propaganda chafu zinazosambazwa na CCM na ambazo zinaweza kuwa na athari mbaya kwa chama chetu.

    Wana-CHADEMA,tunapaswa kutambua kuwa watu tunatofautiana katika uelewa wa mambo na katika mapokeo ya taarifa tunazoletewa au kuzisoma.

    Kwa maana hiyo basi,mambo haya nashauri yatazamwe upya.
    1.Ukomo wa kugombe uongozi urudishwe katika katiba ya chama na ikiwezekano ukomo uwe ni vipindi vitatu vya miaka mitano mitano.

    2.Wanachama waruhusiwe kwenda mahakamni na mtu akishindwa kesi aruhusiwe kuendelea na uanachama wake.

    3.Mh.Mbowe,kipindi chako cha sasa kikiisha,nakushauri usigombee tena na utoe fursa kwa wengine kugombea na wewe kama kiongozi, ujikite katika kuhakikisha chama kinapata mrithi bora,wa kuamimika na mwenye viwango.

    Mchango ndani wako ndani ya chama ni mkubwa na wa kuthaminiwa sana ila ni vizuri sasa ukatoa nafasi kwa wengine ili kukinusuru chama na propaganda hizi.

    4.Japo hatuchagu kiongozi kwa kuangalia kabila lake, lakini ikiwezekana katika uchaguzi wa mwenyekiti ajae jambo hili likaangaliwa kwa mapana na marefu yake.

    Wenye akili na upeo wa kuona mbali watanielewa, ila wenye kukariri kuwa chama hakihitaji ushauri wa aina hii, watakuja hapa na vijembe na kejeli.

    Niwaambie tu,hata kiburi na kujiamini kwa Zitto msingi wake ni uwepo wa hizi propaganda na ndio maana hata anapata public sympathy kutoka kwa baadhi ya watu na watu hao ni wengi tu huku mitaani tunakoishi.Fanya utafiti mdogo uone.

    Propaganda zingine ni za msimu tu lakini sio hizi nilizoziongelea hapa.

    Yangu ni hayo tu.






 
Ongezea na hii:
EL akibaki CCM ni shida tupu NA akienda ACT ni shida zaidi. Sawa na uchimumumunye,uchimeje wala uchiteme. Nani anakamatwa red handed katika hili akiwa kashusha surubale?
EL anaweza pia asiwe na athari kwa CCM akipewa agombee au asipopitishwa.
 
Kaka Salary slip ungefanya edit kidogo hasa kwenye TAC WEKA ACT,JCC nadhani inatakiwa kuwa CCJ,wwkuwa hjwa madaraka ya ukuu wa chama ni EL,na muachiaji ni ZZK.

Ukiedit hayo itakuwa powa sana.
Mkuu sijui kama umeelewa alivyomalizia hapo chini

  • Nimeanza kufanya mazoezi ya ku-avoid "cyber bullying" kwahiyo usishangae sana kilichoandikwa na nilivyoandika​



 
Read between lines.

Tena Lowassa akihamia ATC mchuano utakuwa mkali na mgombea mmoja kupata zaidi ya asilimia 50 katika duru ya kwanza itakuwa ngumu sana.

Tafakari acha kukurupuka!

Mkuu kwani si katiba ya Tanzania inasema mgombea uraisi anashinda kwa kupata kura nyingi kuliko wengine? (Refer marekebisho ya katiba aliyofanya Mkapa 1996 kama sijakosea...
 
Kama Kikwete alivyowatishia wasingempitisha. Nasikia alitishia angeenda upinzani, Mkapa akaogopa ikabidi wampitishe.
 
Nadhani amefanya kwa makusudi ili akwepe accountability & responsibility kwa kutotaja moja kwa moja ACT badala yake iwe TAC

Sheria si bado haijasainiwa, ofu ya nini wakuu? Au sheria ikisainiwa mwezi May inaweza kutumika kuhukumu makosa yaliyofanyika mwezi wa April? Nielimishe wakuu.
 
Mkuu sijui kama umeelewa alivyomalizia hapo chini

  • Nimeanza kufanya mazoezi ya ku-avoid "cyber bullying" kwahiyo usishangae sana kilichoandikwa na nilivyoandika​


Nimeshapewa info na wengine na nimekubali kosa ok.
 
mtakuja na hypotheses nyinyi sana nyie chadema lakini ukweli mchungu unabaki palepale, mlifanya makosa sana kumfukuza Zitto.
mngekuwa mnaona mbali mngemuacha hata awe mwanachama wakawaida tu ukizingatia na vyeo vyote mlishamnyang'anya.
sasa kila kukicha nyie na zitto. poleni mmeyataka wenyewe.

Zuberi Kabwe ni Pasua-Kichwa (PK) kwa chadema...Jamaa anawaangushia atomic bomb kila siku wanaweweseka...sasahivi wanapambana ku neutralise nguvu za Zuberi Kabwe wakati CCM inachanja mbuga...
 
Hii hekaya nayo uliiandika wewe .... Hadi October nadhani tutarajie hekaya nyingi sana...



Halafu unaukumbuka huu uzi? Unakumbuka makamanda walikwambiaje? Maana kuna wengine wali-Connect dots fasta kama ulivyofanya wewe
HAKUNA Cha dot
 
Back
Top Bottom