soma hii post kwenye red.Huyo c mwana chadema.
EL anaweza pia asiwe na athari kwa CCM akipewa agombee au asipopitishwa.Ongezea na hii:
EL akibaki CCM ni shida tupu NA akienda ACT ni shida zaidi. Sawa na uchimumumunye,uchimeje wala uchiteme. Nani anakamatwa red handed katika hili akiwa kashusha surubale?
Mkuu sijui kama umeelewa alivyomalizia hapo chiniKaka Salary slip ungefanya edit kidogo hasa kwenye TAC WEKA ACT,JCC nadhani inatakiwa kuwa CCJ,wwkuwa hjwa madaraka ya ukuu wa chama ni EL,na muachiaji ni ZZK.
Ukiedit hayo itakuwa powa sana.
Read between lines.
Tena Lowassa akihamia ATC mchuano utakuwa mkali na mgombea mmoja kupata zaidi ya asilimia 50 katika duru ya kwanza itakuwa ngumu sana.
Tafakari acha kukurupuka!
Nadhani amefanya kwa makusudi ili akwepe accountability & responsibility kwa kutotaja moja kwa moja ACT badala yake iwe TAC
Mkuu sijui kama umeelewa alivyomalizia hapo chini
Nimeanza kufanya mazoezi ya ku-avoid "cyber bullying" kwahiyo usishangae sana kilichoandikwa na nilivyoandika
mtakuja na hypotheses nyinyi sana nyie chadema lakini ukweli mchungu unabaki palepale, mlifanya makosa sana kumfukuza Zitto.
mngekuwa mnaona mbali mngemuacha hata awe mwanachama wakawaida tu ukizingatia na vyeo vyote mlishamnyang'anya.
sasa kila kukicha nyie na zitto. poleni mmeyataka wenyewe.
Kweli usemayo?Huyo el ananuka na ni la kuvunda
HAKUNA Cha dotHii hekaya nayo uliiandika wewe .... Hadi October nadhani tutarajie hekaya nyingi sana...
Halafu unaukumbuka huu uzi? Unakumbuka makamanda walikwambiaje? Maana kuna wengine wali-Connect dots fasta kama ulivyofanya wewe