Waheshimiwa
Habari,
Mi nina shida kwa wakati huu ambapo nipo wilayani na mpango wa internet
ndo uko chini balaa.Nilikuwa naomba kwa yeyote anayefahamu ni kwa njia
gani naweza pata huduma ya internet yenye kasi kwa bei nafuu kwa sasa
natumia modem za Voda na Airtel ila connection ndo ipo chini sana,msaada wenu
wakubwa..