Connection ya mafunzo kwa vitendo(field)

Kama field inatafutwa kwa dizain hiii utapata tu
 
ivi hiyo connection mnayo tafuta wanafunzi wa siku hizi mbona mimi sielewei...enzi zetu field tulikuwa tunaenda popote na mambo yalikuwa shwali...ebu funga safari upeleke barua yako ya utambulisho kutoka chuo....hapa hakuna atakae kusaidia.
 
Kila la kheri... Ngoja waje kukupa muongozo...
 
ivi hiyo connection mnayo tafuta wanafunzi wa siku hizi mbona mimi sielewei...enzi zetu field tulikuwa tunaenda popote na mambo yalikuwa shwali...ebu funga safari upeleke barua yako ya utambulisho kutoka chuo....hapa hakuna atakae kusaidia.
Barua mkuu nimepeleka ila mambo siku hizi hayapo hivyo.. Unapeleka taasisi 6 hupat hat moja, wanaopata wameunganishwa
 
Kama field hivi ushawaza ajira itakuwaje😆 jiamin. Na ukienda kwenye ofisi usiache barua ya field kwa mlinzi au mapokezi omba kuonana na department husika ukishindwa hata hr au manager. Mostly top rank staff hawana shida. Kimbembe nihawa wanaopokea hela ya mboga😬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…