Hii biashara bn, duh nzuuri sana.
Ila ithink uwapate madalali wazoefu mzigo unateembea faster.
Nimehudum kwenye kiwanda cha korosho nimeona hii biashara vzr.
Kuna network ya madalali wanawajua wazungu karb wote [emoji1787].
Ukiwadaka hawajamaa mzigo n siku tu unaisha wote.
Ila sasa,inabid uwe makin sana.
Kutapeliwa kwenye hii kitu ni easy.
Kuna ujanja ujanja sana