Connection ya comoros

Connection ya comoros

Genchi

Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
95
Reaction score
47
Habar wadau??
Naitwa Genchi naomba msaada wa connection ya kupeleka biashara(nafaka) nchi ya comoro! No ndoto yangu mda mrefu kufanya export na nimechagua comoro kama nchi ambayo inaweza kunivusha! Kwa yyte mwenye connection ya huko naomba msaada wake. Ahsanteni

0683775566
 
Tatizo lipo kwenye meli za mizigo
Ukivuka mtihani huo umefaulu
 
Habar wadau??
Naitwa Genchi naomba msaada wa connection ya kupeleka biashara(nafaka) nchi ya comoro! No ndoto yangu mda mrefu kufanya export na nimechagua comoro kama nchi ambayo inaweza kunivusha! Kwa yyte mwenye connection ya huko naomba msaada wake. Ahsanteni

0683775566
Naamani mtu ukishafika kiwango Cha kufanya Export business sio small business Tena utakuwa na uwezo/ mbinu tayari zakufika huko nenda ,Comoro mwenyewe kafanye survey na tafuta link huko huko. Otherwise ndoto Yako ni Batili, Export ya 10 ton of maize to Comoro
 
Back
Top Bottom