Connection na ajira

Connections ziko kila mahali mjini bora tu ue mtu wa kujichanganya. Hta mim kazi nlokua nayo ni connection tu.
 
Hiyo connection uliosema mimi nimejiunga Linkedin nina miaka 5 sasa ila shida ya kupata connection iko palepale mzea. Ni rahisi sana kuona wengine ni wazembe kwa kuwa upo at the stage!!!
Mi mwenyewe nipo, kule kitambo Kwanza wanazarau watu wa kule.,
 
Mkuuu naomba email yako..you sound matured na Mkuu wa kitengo hope utanisaidia jambo
 
Mkuu naomba email yako you sound very determined person na unamaanisha ukisemacho . Na huna longolongo. Hope utanisaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…