OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,310
Hizo piki piki kwa sasa bei yake ikoje mkuu?Mkuu nje ya mada, zile pikipiki zetu za umeme tuachane nazo kwanza. Maintenance cost ni kubwa ingawa mafuta hutumii. Umeme mwingi na spares bei ghali sana hasa lile betri.
Ziko za 1.8M na labda za chini yake zile ndogo ila used zinauzika sana ingawa unakuta battery sometimes imepungua nguvuHizo piki piki kwa sasa bei yake ikoje mkuu?
Na mimi ambaye sina connections ninafanyaje kupata connections hapa mjini?Lazima na wewe una connection nzuri, followers na unaowa follow wazuri na wa kutosha na uzoefu mkubwa huko LinkedIn
Ukikutana na connection waweza kuconnect wengine pia
Mungu bado anakupenda mkuu na baraka zako zinakujaHizo mambo nimefanya sana lakini wapi...
Yeah ni kweli mkuu tuendelee kusubiri Mungu ni mwema siku zote..Mungu bado anakupenda mkuu na baraka zako zinakuja
Kutana na kina moyafricatz hapa jamiiforum watakupa connectionNa mimi ambaye sina connections ninafanyaje kupata connections hapa mjini?
Aseme anataka koneksheni ya ofisi gani fasta.......Kutana na kina moyafricatz hapa jamiiforum watakupa connection
Ila huyu Infantry Soldier naskia si muajiriwa wa gov.Kutana na kina moyafricatz hapa jamiiforum watakupa connection
Ngoja aje Infantry SoldierIla huyu Infantry Soldier naskia si muajiriwa wa gov.
Nipe connection mkuuAseme anataka koneksheni ya ofisi gani fasta.......
Hahahahaaa, mkuu mimi ni kijana wa kawaida sana huku mtaani kwetu.Ila huyu Infantry Soldier naskia si muajiriwa wa gov.
Mama D, mimi ni kijana wa kawaida sana TAXI BUBU DRIVERNgoja aje Infantry Soldier
Mimi huwa naamini mtu anachosema ndio cha ukweliMama D, mimi ni kijana wa kawaida sana TAXI BUBU DRIVER
Siwezi kukudanganya my wangu. Ninaendesha CHASER AVANTE GX-100 tatizo engine ndio kubwa inakula sana mafuta ndio maana sipati faida.Mimi huwa naamini mtu anachosema ndio cha ukweli
Ila hiyo taxbubu yako isajili sasa..... Au unalipia shilingi 54 na senti 8 kila siku kama mimi?????
Kwa hako kabiashara karibu kwenye ulimwengu wa Paso , vitz , istSiwezi kukudanganya my wangu. Ninaendesha CHASER AVANTE GX-100 tatizo engine ndio kubwa inakula sana mafuta ndio maana sipati faida.
Wadau leo nataka kujua mambo kazaa mawili matatu katika Ajira apa Tanzania.
1. Connection ni nini?
2. Connection zinapatikana wapi?
3. Ni nani anastahili kupewa connection na yupi hastahili connection?
4. Share na sisi moja ya connection uliyowai kuishuhudia ama uliyowai kunufaika nao kwa ujumla katika swala la ajira. Na ni kwanini watu wengi tunaoitaji ajira tunajikuta tunaamini sana katika connection kuliko kupambana binafsi?
Sawa myKwa hako kabiashara karibu kwenye ulimwengu wa Paso , vitz , ist