Connection ni mtu au watu wanaokua ni wa kwanza kukujulisha nafasi ya kazi au umeona nafasi ya kazi kwenye kampuni fulani na haujui taarifa za nafasi hiyo so unatafuta mtu sio wa kukubeba lakini wa kukusaidia kupata taarifa sahihi toka.ndani ya kampuni ili uweze apply kazi husika au kama umekua shortlisted ili ufanye vizuri kwenye usahili.
Connections kwa upande wangu zinapatikana kwenye Mtandao wa LINKELDN ....ukijunga wale watu unaowaomba request hawawi followers wako kama instagram bali wanaitwa CONNECTIONS.
So huwa nashangaa sana mtu anakuja hapa jf analia lia naomba connections....mwenye connections.
Wakati LINKELDN kuna ma-HR, CEO's, MANAGERS, HOD's, Employers, experienced Emplyee wa makampuni mbali mbali hapa Tanzania...ila watu wanakomaa hapa JF ......
Na ukiwatumia ujumbe huko LINKELD wana reply........
Kule una uwezo wa kumtumia ujumbe mfupi MKUU yeyote wa kampunu, HR au staff yeyote na akakujibu.
Ila wajinga watakomaa kuomba connections sehemu ambazo sio sahihi.
Connection unayoidescribe sio connection ambayo watu tunaililia awamu hii mzee mzimaConnection ni mtu au watu wanaokua ni wa kwanza kukujulisha nafasi ya kazi au umeona nafasi ya kazi kwenye kampuni fulani na haujui taarifa za nafasi hiyo so unatafuta mtu sio wa kukubeba lakini wa kukusaidia kupata taarifa sahihi toka.ndani ya kampuni ili uweze apply kazi husika au kama umekua shortlisted ili ufanye vizuri kwenye usahili.
Connections kwa upande wangu zinapatikana kwenye Mtandao wa LINKELDN ....ukijunga wale watu unaowaomba request hawawi followers wako kama instagram bali wanaitwa CONNECTIONS.
So huwa nashangaa sana mtu anakuja hapa jf analia lia naomba connections....mwenye connections.
Wakati LINKELDN kuna ma-HR, CEO's, MANAGERS, HOD's, Employers, experienced Emplyee wa makampuni mbali mbali hapa Tanzania...ila watu wanakomaa hapa JF ......
Na ukiwatumia ujumbe huko LINKELD wana reply........
Kule una uwezo wa kumtumia ujumbe mfupi MKUU yeyote wa kampunu, HR au staff yeyote na akakujibu.
Ila wajinga watakomaa kuomba connections sehemu ambazo sio sahihi.
Sawa...komaeni na mchoililia.Connection unayoidescribe sio connection ambayo watu tunaililia awamu hii mzee mzima
Eti sehemu isiyo sahihi, kwa mujibu wa nani siyo sahihi? Kuna watu wamepata kazi kupitia hapa hapa JF. Ukienda huko Linkedln utawakuta watu wanatafuta kazi kwa muda mrefu tu (Open to work). Kule Linkedln connection wako pia unaweza mtumia meseji na hasijibu.Connection ni mtu au watu wanaokua ni wa kwanza kukujulisha nafasi ya kazi au umeona nafasi ya kazi kwenye kampuni fulani na haujui taarifa za nafasi hiyo so unatafuta mtu sio wa kukubeba lakini wa kukusaidia kupata taarifa sahihi toka.ndani ya kampuni ili uweze apply kazi husika au kama umekua shortlisted ili ufanye vizuri kwenye usahili.
Connections kwa upande wangu zinapatikana kwenye Mtandao wa LINKELDN ....ukijunga wale watu unaowaomba request hawawi followers wako kama instagram bali wanaitwa CONNECTIONS.
So huwa nashangaa sana mtu anakuja hapa jf analia lia naomba connections....mwenye connections.
Wakati LINKELDN kuna ma-HR, CEO's, MANAGERS, HOD's, Employers, experienced Emplyee wa makampuni mbali mbali hapa Tanzania...ila watu wanakomaa hapa JF ......
Na ukiwatumia ujumbe huko LINKELD wana reply........
Kule una uwezo wa kumtumia ujumbe mfupi MKUU yeyote wa kampunu, HR au staff yeyote na akakujibu.
Ila wajinga watakomaa kuomba connections sehemu ambazo sio sahihi.
Eti kisa kule linkedln wanaitwa connection basi wata ku connect. Hakuna huo urahisi! Wapo Watu kule bado wanatafuta kazi kwa muda mrefu tu na washaonwa na hao connection.Hiyo connection uliosema mimi nimejiunga Linkedin nina miaka 5 sasa ila shida ya kupata connection iko palepale mzea. Ni rahisi sana kuona wengine ni wazembe kwa kuwa upo at the stage!!!
Connection ya kweli ni ya kamlete au lete vyeti ofisini baaaaaasi hizo zingine ni conjuctionEti kisa kule linkedln wanaitwa connection basi wata ku connect. Hakuna huo urahisi! Wapo Watu kule bado wanatafuta kazi kwa muda mrefu tu na washaonwa na hao connection.
Hata hapa zinapatikana mkuuConnection ni mtu au watu wanaokua ni wa kwanza kukujulisha nafasi ya kazi au umeona nafasi ya kazi kwenye kampuni fulani na haujui taarifa za nafasi hiyo so unatafuta mtu sio wa kukubeba lakini wa kukusaidia kupata taarifa sahihi toka.ndani ya kampuni ili uweze apply kazi husika au kama umekua shortlisted ili ufanye vizuri kwenye usahili.
Connections kwa upande wangu zinapatikana kwenye Mtandao wa LINKELDN ....ukijunga wale watu unaowaomba request hawawi followers wako kama instagram bali wanaitwa CONNECTIONS.
So huwa nashangaa sana mtu anakuja hapa jf analia lia naomba connections....mwenye connections.
Wakati LINKELDN kuna ma-HR, CEO's, MANAGERS, HOD's, Employers, experienced Emplyee wa makampuni mbali mbali hapa Tanzania...ila watu wanakomaa hapa JF ......
Na ukiwatumia ujumbe huko LINKELD wana reply........
Kule una uwezo wa kumtumia ujumbe mfupi MKUU yeyote wa kampunu, HR au staff yeyote na akakujibu.
Ila wajinga watakomaa kuomba connections sehemu ambazo sio sahihi.
SahihiEti sehemu isiyo sahihi, kwa mujibu wa nani siyo sahihi? Kuna watu wamepata kazi kupitia hapa hapa JF. Ukienda huko Linkedln utawakuta watu wanatafuta kazi kwa muda mrefu tu (Open to work). Kule Linkedln connection wako pia unaweza mtumia meseji na hasijibu.
Connection inapatikana popote iwe JF, facebook, kanisani, bar, sokoni n.k kwa hiyo usiite watu wajinga kisa hawako huko linkedln. Kuitwa followers, connection, friends haina utofauti wowote, cha muhimu ni mazungumzo yenu yatakapoishia.
Hizo mambo nimefanya sana lakini wapi...Connection ni mtu au watu wanaokua ni wa kwanza kukujulisha nafasi ya kazi au umeona nafasi ya kazi kwenye kampuni fulani na haujui taarifa za nafasi hiyo so unatafuta mtu sio wa kukubeba lakini wa kukusaidia kupata taarifa sahihi toka.ndani ya kampuni ili uweze apply kazi husika au kama umekua shortlisted ili ufanye vizuri kwenye usahili.
Connections kwa upande wangu zinapatikana kwenye Mtandao wa LINKELDN ....ukijunga wale watu unaowaomba request hawawi followers wako kama instagram bali wanaitwa CONNECTIONS.
So huwa nashangaa sana mtu anakuja hapa jf analia lia naomba connections....mwenye connections.
Wakati LINKELDN kuna ma-HR, CEO's, MANAGERS, HOD's, Employers, experienced Emplyee wa makampuni mbali mbali hapa Tanzania...ila watu wanakomaa hapa JF ......
Na ukiwatumia ujumbe huko LINKELD wana reply........
Kule una uwezo wa kumtumia ujumbe mfupi MKUU yeyote wa kampunu, HR au staff yeyote na akakujibu.
Ila wajinga watakomaa kuomba connections sehemu ambazo sio sahihi.
Mkuu nje ya mada, zile pikipiki zetu za umeme tuachane nazo kwanza. Maintenance cost ni kubwa ingawa mafuta hutumii. Umeme mwingi na spares bei ghali sana hasa lile betri.Hizo mambo nimefanya sana lakini wapi...